Lema amezindua Kampeni za Udiwani Kata ya Muriet na kamtambulisha Simon Moleli kuwa mgombea kupitia CHADEMA

Marufuku kuongelea Masuala ya Kitaifa, waji kite kwny Masuala ya level ya Kata Yao, Tume imeshatoa Muongozo, wakikiuka ni Kichapo tu!

Ungese ungese Mwisho awamu ya Nne
Wakati mwingine unakuwaga mtu muelevu na mwenye hoja za maana, ila wakati mwingine unakuwaga mtu mjinga sana mwenye kuongozwa na akili ya kimihemko na ushabiki usio na mantiki yoyote
 
labda mtashinda njaa Arusha wanajitambua hawawezi kuchagua maharamia ambayo nimetuingiza kwenye hasara baada ya kununua diwani aliyekuwepo
Wewe huelewi unachoandika. Unaandika upuuzi tu. Nyie mlioko nje ya Arusha hamjui hali halis tuliyonayo apa Arusha. Ccm wanashinda na utashangaa. Acheni kuamin propaganda za kwenye mitandao
 
Ngoja tuone ccm watapata diwan arusha mjin na meru?itatupa muelekeo wa siasa nchin
Ndugu yangu, kweli unatumia tathimini hiyo leo hii? Wakati kila kitu wameshika wenyewe, na ni lazima wamfurahishe mkulu. Acha tafiti zako zilipendwa!!
 
Wakati mwingine unakuwaga mtu muelevu na mwenye hoja za maana, ila wakati mwingine unakuwaga mtu mjinga sana mwenye kuongozwa na akili ya kimihemko na ushabiki usio na mantiki yoyote
Wewe wakati wote unajifanya unamiliki Marking scheme ya Kupima Ubora wa comments za Watu na kuamua ipi ni hoja ya maana na ipi ya kipuuzi!

Inawezekana zile zangu unazohisi za maana Mwingine Akaona za kipuuzi na zile unazohisi za kipuuzi Mwingine akaona za maana!
Mie Mara zote huwa naona unaandika message kwa Kadri unavyotaka kutumia Uhuru wako wa mawazo, sina Muda wala uwezo wa ku assess ubora au udhaifu wa mawazo yako
 
Wewe huelewi unachoandika. Unaandika upuuzi tu. Nyie mlioko nje ya Arusha hamjui hali halis tuliyonayo apa Arusha. Ccm wanashinda na utashangaa. Acheni kuamin propaganda za kwenye mitandao
Wewe mwenyewe unaleta propaganda mitandaoni halafu unakataza wengine. Unajifanya upo akilini mwa wana Arusha.

Note: usiusemee moyo wa mtu.
 
Mheshimiwa Lema tuhakikishie vipi kuwa huyu Simoni hatanunuliwa? Ulituletea wadiwani 19 ukawanadi vizuri ukawamwagia misifa, kumbe ni wasaliti wakakimbilia CCM. Unadui wamehongwa na CVM, kwa nini ulituletea watu wa kuhongwa? Mbona wewe au Nassari hamjahongwa? Tuna hakika gani kama safari hii hatitawapigia walafi?
 
Siasa za Arusha na Moshi hazitegemea Sera wala uwezo wa mtu Kuongoza Bali chuki za Wananchi kwa CCM. Ndio maana mtu Kama Lema ambaye hafai hata kuwa Mwenyekiti wa !Mtaa kawa Mbunge!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom