Kwa hiyo wamehamia mbinguni mpaka krismasi itakapoisha?!...hahaa!!Wako busy na Mungu.
God is not mockery
Kwani yule wa kule kagera sio mtumishi wa mungi?au lema anataka asikie kwa yupi ndo akubaliane nae
Wale wa Lissu?!Lema na kikundi chake waache kutengeneza matatizo ili wapate huruma ya jamii na viongozi wa dini.
Mpe ukweli , anataka amuone Mungu kupitia facebook, hahahaMaombi ya kuombea nchi yanafanyika kila siku, ajaribu kuhudhuria makanisani ili atambue hakuna ukimya
Kazoea matamkoMpe ukweli , anataka amuone Mungu kupitia facebook, hahaha
Anafikiri kazi za Mungu ni kama za kisiasa za kupiga pyepyepyeKwani yule wa kule kagera sio mtumishi wa mungi?au lema anataka asikie kwa yupi ndo akubaliane nae
Wale wa Lissu?!Jifunzeni kuheshimu utu na mamlaka ya serikali za wanadamu zilizowekwa kwa kibali cha Mungu
Mungu hapangiwi kazi na Lema wala binadamu , watenda kazi wake wako kuisikuliza sauti ya Mungu.Watanzania bado hatujanyooshwa vya kutosha, ila tukishonyooshwa inavyotakiwa, kila mtu atapaza sauti.
Umewaona wakikoroma?kazi ya Mungu si ya binadamu wala ya kasuku kutwa kupiga kelele, na kunyoosheana vidole , utendaji kazi wa Mungu uko juu .Wale wa Bakwata ndio kwanza wanavuta na Shuka na Kukoroma juu.
Povu la nini, kilichoulizwa ni Mbona viongozi wa kiroho wamekaa kimya wakati wa dhoruba inayoendelea?!Mungu hapangiwi kazi na Lema wala binadamu , watenda kazi wake wako kuisikuliza sauti ya Mungu.
Au wameambiana mbona hadi Wasabato nao wamekula pini.Umewaona wakikoroma?kazi ya Mungu si ya binadamu wala ya kasuku kutwa kupiga kelele, na kunyoosheana vidole , utendaji kazi wa Mungu uko juu .
Hawataki kujifunza neno la Mungu ila wanawashinikiza watumishi wa Mungu ,kuwasikiliza wao badala ya neno la Mungu.Lema na kikundi chake waache kutengeneza matatizo ili wapate huruma ya jamii na viongozi wa dini.
Kwani kuna kiongozi wa dini alimtuma mtu adharau masharti ya dhamana ya mahakama??.
Jifunzeni kuheshimu utu na mamlaka ya serikali za wanadamu zilizowekwa kwa kibali cha Mungu unaemlilia Lema.