Lema akosoa ukimya wa viongozi wa kidini

Dawa yake hamna kupeleka sadaka na dhaka ili nao waisome namba watapaza sauti.
Kwa makanjanja na wachumia tumbo nyie ndio mtawapata , wale wenye kusimamia neno thubutu hamuwapati n'go , Mungu huwalisha hawasubiri pesa wala chakula kutoka kwenu
 
Viongozi kidini ni wanafiki sana.hawajawa wakomavu wa kukosoa serikali,wanaaminishwa na serikali kwamba 'ukiikosoa serikali unachanganya siaaa na dini'! Hii ni hatari sana katika taifa huru .
Wao wanafanya kazi ya Mungu , kazi za binadamu wakosoane wenyewe.
 
Tatizo upinzani wanataka wanachoongea wapewe sapot na viongozi wote wa dini
Tatizo hawajitambui , halafu wanataka kila mtu afikiri kama wao , mpaka wanataka watumishi wa Mungu waongee lugha yao , hizo ndio dalili za kuishiwa kisiasa
 
Hujanijibu swali langu mbona yule Mswahili walikomaa nae.
Tatizo unataka nijibu kwa matakwa yako , nami nakujibu ukweli , ya kwamba , wachumia tumbo , wataacha matumbo yao yawasaidie kufanya maamuzi na kazi , na si maamuzi ya kiuungu.
 
PREMISE 1.

Watanzania wengi wana maisha ya unafiki.

PREMISE 2.

Viongozi wa dini wote ni Watanzania.

CONCLUSION.

Viongozi wengi wa dini ni wanafiki.
 
Hatuna maana ya kujivika vilipuzi na kwenda kuwakumbatia viongozi,tunachotaka ni angalao wakemee hii dhoruba iliyopo nchini.
Kwahiyo hao uamsho na Shekh Ponda walijivika vilipuzi? Hizi hukumu za kihisia ndio zinazofanya kusiwe na mshikamano.
PIA KUMBUKA KUWA SHEKH PONDA NDIO KIONGOZI WA KWANZA WA DINI KUKAMATWA NA KUHOJIWA KUHUSU LISSU.
 
Wao wana macho kuliko yako , na macho ya roho yanaona kila kitu, mbivu na mbichi.
Ndiyo matipii wako kwenye ministry walivyokudanganya?Weye katoe sadaka na ikibidi uza hadi bukta zako.Mnalishwa ukereng'ende huko mabandani kwenu unajidai umekuwa muinjilishaji.Go to hell!
 
Naona hata wale ndugu zao wanaosota kule lupango wameamua kukaa kimya bila kuwatetea wanasubiri waje wawasomee Hitma. Njaa mbaya sana mkuu.
Kutetewa walishatetewa sana ila kuna watu walisha conclude kuwa hao ni magaidi hivyo nguvu ya kuwatetea inakuwa ndogo maana inakuwa iko upande mmoja tu ya wale wanaojua ukweli. Ila nafikiri. Lissu naye akishapewa kesi ya uhaini hapa akili ndio zitatukaa sawa.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom