Lema akosoa ukimya wa viongozi wa kidini

Povu la nini, kilichoulizwa ni Mbona viongozi wa kiroho wamekaa kimya wakati wa dhoruba inayoendelea?!
Povu unalijua au umekariri neno povu? Kazi za Mungu wewe na Lema mnazijua ? Kama una jambo la kupeleka mbele za mungu kupitia watumishi wake muende kwa adabu ,Mungu ni mkuu na ni waheshima sana , njia zake si zakibinaadam wala za face book.
 
Mbona walikomaa na yule mswahili?!...kabla ya dhoruba kutukuta.
 
Lema na kikundi chake waache kutengeneza matatizo ili wapate huruma ya jamii na viongozi wa dini.

Kwani kuna kiongozi wa dini alimtuma mtu adharau masharti ya dhamana ya mahakama??.

Jifunzeni kuheshimu utu na mamlaka ya serikali za wanadamu zilizowekwa kwa kibali cha Mungu unaemlilia Lema.
Mungu ndiyo huweka mamlaka ya watu majahili,watekaji,wauaji,watesi,wenye kidhulumu,mafisadi,vichwa ngumu na wahuni?Utapata laana.Uwe unatafakari kabla ya kumdhalilisha MUNGU.
 
Povu unalijua au umekariri neno povu? Kazi za Mungu wewe na Lema mnazijua ? Kama una jambo la kupeleka mbele za mungu kupitia watumishi wake muende kwa adabu ,Mungu ni mkuu na ni waheshima sana , njia zake si zakibinaadam wala za face book.
Unajidai kuandika utadhani huwa unakunywaga juisi na malaika.Punguza unafiki.
 
Watanzania bado hatujanyooshwa vya kutosha, ila tukishonyooshwa inavyotakiwa, kila mtu atapaza sauti.
Tutakapofikia kuchoka kuvumilia na kuishinda dhambi ya woga watanzania wanyonge hawa watakuwa wakali ajabu. Hakuna askari au silaha zitakazotosha kuwatuliza. Time will tell!
 
Viongozi kidini ni wanafiki sana.hawajawa wakomavu wa kukosoa serikali,wanaaminishwa na serikali kwamba 'ukiikosoa serikali unachanganya siaaa na dini'! Hii ni hatari sana katika taifa huru .
Maombi ya kuombea nchi yanafanyika kila siku, ajaribu kuhudhuria makanisani ili atambue hakuna ukimya
 
Anafikiri kazi za Mungu ni kama za kisiasa za kupiga pyepyepye
Lazima wasimame wahesabiwe wapo upande wa haki au dhulma.Rwanda baadhi yao walisimama upande wa dhulma na kuruhusu Genocide.Je hapa napo ndo hivyo?Wajitokeze hadharani tuwajue.
 
Wale wa Bakwata ndio kwanza wanavuta na Shuka na Kukoroma juu.
Acha unafiki, wakilianzisha mnasema wachochezi, na serikali ikiwaita magaidi nanyi mnaunga mkono 100%. Kesi ya uamsho mwaka wa ngapi huu? ACHA DAWA ITUINGIE WOTE KWA SASA. SHEKH PONDA KAKAA GEREZANI ZAIDI YA HUYO MBOWE MBONA HATUKUSIKIA AKIWAITA WANASIASA.
 
Lazima wasimame wahesabiwe wapo upande wa haki au dhulma.Rwanda baadhi yao walisimama upande wa dhulma na kuruhusu Genocide.Je hapa napo ndo hivyo?Wajitokeze hadharani tuwajue.
Mungu hakaguliwi na binadamu , ndio maana umwagaji damu ulitokea
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom