Lema agonga mwamba Arusha

Mkuu thatha.

Hapa Godbless Lema hausiki na hizi jitihada za mgomo tumtendee haki wahusika wakuu ni Nanyaro diwani wa Levolosi na kikundi chake cha wahuni ndiyo wahusika wakuu.Lema alikuwa uwanja wa ndege akiongoza ndege na kufungua matawi kwa wingi ahaaaaa.
Nasikia kakimbia anatafutwa na polisi, ushauri wangu kwa huyu diwani kwa nini asimfuate Lema mahabusu au yeye anaogopa Jela?
 
Hongera wamiliki wa magari na pikipiki Arusha kugundua huo upuuzi.
 
Nasikia kakimbia anatafutwa na polisi, ushauri wangu kwa huyu diwani kwa nini asimfuate Lema mahabusu au yeye anaogopa Jela?

wakienda wote jela nani atakayehamasisha migomo ya kijinga.
 

Jana asubuhi vijana waliosadikiwa kuwa ni wafuasi wa Lema walifanya vurugu kwa kupiga mawe kila daladala na pikipiki iliyotoa huduma ya usafiri ili kuwashinikiza wahusika kugoma.

Hiyo ndio CHADEMA
 
Ukweli ni kwamba shinikizo halikufanikiwa. Wenye maduka walifungua. 'lema awasha moto' lema agonga mwamba'. yote ni mazeti ya kiitikadi. We are finished
 
Lema anatuaibisha wanachadema wa Arusha..
Afadhali wamiliki wa vyombo vya usafiri wameliona hilo.
...............Ni mtazamo wako,(wa hovyo lakini) hivyo ndivyo unavyofikiri wewe, usiwasemee wenzio kama kweli wewe CDM, na kama sio shame on u!
 
We unadhani Uhuru watandika nini kuhusu mpiganaji Godbless Lema? Hakuna waandishi wa habari kwenye gazeti hilo ndio maana watu wamesahau kama kuna gazeti hilo. Tumezoea propaganda zao: oh Lema asweka rumande, akosa dhamana nk. Hawana geni tangu wapigwe bao Arusha na maeneo muhimu ya nchi hii (Miji. Manispaa na Majiji) katika uchaguzi uliopita.Sasa hivi watu wameamka wanasoma magazeti yenye circulation kama Daima, Mwanachi, Citizen, Raia Mwema, Mwanahalisi. Hilo lao wapashane habari wenyewe kwa wenyewe sisi hatupo. Mapambano yako wazi ili wananchi waondokane na ufisadi na kero mbali mbali miaka 50 baada ya uhuru.
 
Jamani saa nyingine tuwe tunatumia akili za kuzaliwa..Mtu kakataa mwenyewe kupewa dhamana then watu wengine mnataka kuandamana ili atolewe..so what..??? ifike mda watu tuache ushabiki wa kisiasa na tufanye mambo yenye manufaa kwa jamii inayotuzunguka..kama kakataa dhamana then mwacheni akae huko hata miaka kumi kama anataka sababu toka tumemchagua sijaona alichokifanya na mwaka umeshakatika..
 
Inasemekana wamiliki nao walipigiwa simu kuwa lazima wapeleke magari yao lasivyo.............. Wachache sana walionafursa ya kabiasara.

hawa vijana wanataka ushirikiano, hiari ikishindikana au ulazima unatumika wao wanaona ni wajibu wao kuwalazimisha kutii maamuzi ya pamoja, kama ilivyo kulazimisha wakorofi wachache kutii sheria.

Ni muhimu sana kukubali kuwa hali hii itakuja kuwa nje ya uwezo wa serikali kuthibiti, japo wanaona kuwa wanatumia mbinu za kugawa na kumtambua kila mmiliki wa gari au dereva. Ikumbukwe kwamba katika kila action kuna counter action. Muhimu sana kujua iwapo mbinu za amani kama migomo inashindikana basi mbinu chafu itakuja.

Mungu Ibariki nchi yetu
 
Difinition ya gazeti la UHURU nikua toa hiyo herufi U mbele ya herufi H halafu weka herufi A halafu tena toa U mbele ya herufi R halafu weka O naomba utoe jibu sahihi!
 
SOURCE: Uhuru=CCM=Magamba=Mafisadi! lol! ,kwani mshamkubalia mh. Cameroon hizo tigo zenu azile? Tangazeni na hilo basi.
 
Back
Top Bottom