Lema agonga mwamba Arusha

Lema agonga mwamba Arusha

Lema anatuaibisha wanachadema wa Arusha..
Afadhali wamiliki wa vyombo vya usafiri wameliona hilo.
facebook a.k.a sura ya kitabu............. a.k.a FB ya madenti na mapyupulu............. mkiishiwa vya kuandika someni vilivyoandikwa na wengine
 
NA SHAABAN MDOE. ARUSHA NJAMA za mbunge wa Arusha Mjini Gogbless Lema (CHADEMA) kushinikiza mgomo wa daladala na pikipiki , ikiwa ni ishara ya kupinga kuwekwa rumande, zimegonga mwamba , baada ya wamiliki wa vyombo hivyo vya usafiri kutomuunga mkono. Habari zilizopatikana mjini hapa zinasema wamiliki wa vyombo hivyo waliamua kutounga mkono mgomo huo , baada ya kutafakari na kuhoji mantiki yake kwa kuwa dhamana ulikuwa wazi kwa Lema lakini alikataa kudhaminiwa ili apelekwe rumande. Jana asubuhi vijana waliosadikiwa kuwa ni wafuasi wa Lema walifanya vurugu kwa kupiga mawe kila daladala na pikipiki iliyotoa huduma ya usafiri ili kuwashinikiza wahusika kugoma. SOURCE: UHURU [/QU SOURCE NINI UHURU! YALAAH NA WEWE ULIYE-POST ULIFIKIRIA NINI? LEMA YUPO JELA KAHAMASISHAJE MGOMO! TZ HII TUTAFIKA KWELI?
 
si afadhali yeye kakaririshwa kusema hivyo. Ebu tupe wewe ulichotokanacho kama siyo the, the, the ,the.......

Mtatoka sana povu mpaka mate yawakauke,CHADEMA HAITIKISIKI HAPA MWENDO MDUNDO,alaa mnaleta nguvu ya posho hapa,PEOPLEZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ!!!!.
 

NA SHAABAN MDOE. ARUSHA

NJAMA za mbunge wa Arusha Mjini Gogbless Lema (CHADEMA) kushinikiza mgomo wa daladala na pikipiki , ikiwa ni ishara ya kupinga kuwekwa rumande, zimegonga mwamba , baada ya wamiliki wa vyombo hivyo vya usafiri kutomuunga mkono.

Habari zilizopatikana mjini hapa zinasema wamiliki wa vyombo hivyo waliamua kutounga mkono mgomo huo , baada ya kutafakari na kuhoji mantiki yake kwa kuwa dhamana ulikuwa wazi kwa Lema lakini alikataa kudhaminiwa ili apelekwe rumande.

Jana asubuhi vijana waliosadikiwa kuwa ni wafuasi wa Lema walifanya vurugu kwa kupiga mawe kila daladala na pikipiki iliyotoa huduma ya usafiri ili kuwashinikiza wahusika kugoma.

SOURCE: UHURU

Uhuru si ndo wale "waliotabiri" matokeo ya uraisi kupitia gazeti dada la Daily News au!? Sishangai walivoandika hiyo habari! Uzuri jukumu la kuamini wametuachia wenye vichwa vya kufikiria!!
 
usijali LEMA jIPE MOYO kaka yangu. Mungu atakupigania one day.
 
Powerrrrrrrrrrrrrrrrrr
mtatoka sana povu mpaka mate yawakauke,chadema haitikisiki hapa mwendo mdundo,alaa mnaleta nguvu ya posho hapa,peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!.
 
Source ya taarifa yenyewe ni UHURU. Kama ni UHURU Gazeti kama ninavyofaamu sishangai kwa sababu nahisi wariri wake wanabanaga nywele kwa hiyo kutoa taarifa kama hiyo sioni ajbu. Hawana tofauti na Devid Camerun
 
Habari hyo kama umeileta hapa basi mwandishi na wewe thatha akilizenu zembe! M2 yuko gerezani,amawezaji shawishi walio nje?
 
Back
Top Bottom