Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,811
- 6,780
Najifunza
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
asantesana . Ubarikiwe. Vipi ishu yangu inbox nisaidie pleaseHii hapa mkuu
safi sana materialVingine hivi hapa
Mkuu Al-Bashr kawaida Mda wa kuanza ajira (au kupanda cheo/daraja ama kubadilishiwa nafasi ya kazi) lazima uwe umewekwa wazi katika barua hiyo (mkataba). Stahiki za mtumishi/mwajiriwa zinakuwepo tangu pale ajira inapoanza au cheo kinapoanza, hata kama mkataba wa kazi umesainiwa ua utasainiwa miezi/miaka kadhaa baadae.Habari wakuu,
Mim nilipewa barua ya changes kwenye mkataba wangu wa kazi sikukubaliana nazo nilkua nahitaji maelekezo zaidi lakini sikuyapata over the yr mwezi wa tatu ndo walinijibu na nikasaini. Lakini wakaniambia malipo yanaanzia date niliyosaini lakin barua inasema tarehe za nyuma. Je kisheria ipojee naweza kufaili kesi kudai maadai yangu kama barua inavoelekezaa.. Asanteeni
Asantee sana mkuuMkuu Al-Bashr kawaida Mda wa kuanza ajira (au kupanda cheo/daraja ama kubadilishiwa nafasi ya kazi) lazima uwe umewekwa wazi katika barua hiyo (mkataba). Stahiki za mtumishi/mwajiriwa zinakuwepo tangu pale ajira inapoanza au cheo kinapoanza, hata kama mkataba wa kazi umesainiwa ua utasainiwa miezi/miaka kadhaa baadae.
Kufuatana na maelezo yako basi, ni wazi kuwa barua yako inaonesha kubadilishiwa cheo na stahiki siku za nyuma lakini umesaini hivi karibuni na waajiri wako watakulipa kuanzia tarehe uliyosaini. Kwa sheria za mikakaba ya kazi utaratibu huo haupo. mwajiriwa anakuwa na haki ya kulipwa stahiki zake kama mtumishi/mfanyakazi pindi tu ajira yake inapoanza au punde tu aingiapo kwenye nafasi aliyopo. Ongea na waajiri wako, ukisisitiza kurejewa kwa maandishi yaliyopo kwenye mkataba/barua yako ya ajira.
Unaweza kufungua madai kulipwa stahiki zako kama mwajiriwa kwa kadri mkataba unavyoeleza.