Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

NAOMBA MWENYE KESI HII ANISAIDIE: AHAMED MBARAKA V MWANANCHI ENGINEERING COMPANY LTD CIVIL APPL NO. 229/2014, PLEASE AND PLEASE
 
Habalini za asubui,

nilitaji msaada wa shelia kidogo kuhusiana na jambo hili,

Mtu unapoamuwa kuacha kazi katika kampuni flani na ukatoa taalifa ya siku 15 (15 days note of resignation) je nikweli austahili kupata sitaiki zako zote kama, mshahara wa nusu mwezi, rikizo zako au overtime yako.. naomba msaada
 
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.

Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.

Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.

Wanasheria karibuni sana

Habalini za asubui,
nilitaji msaada wa shelia kidogo kuhusiana na jambo hili,

Mtu unapoamuwa kuacha kazi katika kampuni flani na ukatoa taalifa ya siku 15 (15 days note of resignation) je nikweli austahili kupata sitaiki zako zote kama, mshahara wa nusu mwezi, rikizo zako au overtime yako.. naomba msaada
 
Wadu bosi wangu aliingia chumbani kwangu bila idhini yangu na kupekua ndani baadhi ya documents zangu.
Pamoja na hilo akuishia hapo alipiga na picha kisha akaanza kuwaonesha watu kuwa ndani kwangu kuchafu na kuamua kunitumia email ikionesha picha za chumbani kwangu.
Swala hili limetokea mwezi wa 3 na sijashitaki hadi Sasa naogopa atanifukuza kazi.
Je naweza kumfungulia kesi bila ya yy kunifukuza kazi?
 
habari mheshimiwa...hivi naweza kupata nakala ya hukumu ya kesi ya kasusura na ile ya zombe?
Mkuu farai kesi zenyewe hizi hapa. Ya kasusura ni ile ya mahakama ya rufani na ya Zombe ni ile ya mahakama kuu na ile ya mahakama ya rufani.
 
Attachments

  • CAT - ZOMBE_S JUDGMENT COMPRESSED .pdf
    7.7 MB · Views: 103
  • judgment zombe 1.pdf
    429 KB · Views: 396
  • juustine kasusura v republic.pdf
    12.4 MB · Views: 109
NAOMBA MWENYE KESI HII ANISAIDIE: AHAMED MBARAKA V MWANANCHI ENGINEERING COMPANY LTD CIVIL APPL NO. 229/2014, PLEASE AND PLEASE
Hii hapa mkuu
 
Attachments

  • Ahmed Mbaraka v Mwananchi Engineering.doc
    46.5 KB · Views: 136
Msaada mwenye kesi ya ALLY LINUS AND ELEVEN OTHERS VS TNZANIA HARBOUR ATHORITY. Hata kwa ufafanuzi
 
Habari wakuu,

Mim nilipewa barua ya changes kwenye mkataba wangu wa kazi sikukubaliana nazo nilkua nahitaji maelekezo zaidi lakini sikuyapata over the yr mwezi wa tatu ndo walinijibu na nikasaini. Lakini wakaniambia malipo yanaanzia date niliyosaini lakin barua inasema tarehe za nyuma. Je kisheria ipojee naweza kufaili kesi kudai maadai yangu kama barua inavoelekezaa.. Asanteeni
 
Mkuu Al-Bashr kawaida Mda wa kuanza ajira (au kupanda cheo/daraja ama kubadilishiwa nafasi ya kazi) lazima uwe umewekwa wazi katika barua hiyo (mkataba). Stahiki za mtumishi/mwajiriwa zinakuwepo tangu pale ajira inapoanza au cheo kinapoanza, hata kama mkataba wa kazi umesainiwa ua utasainiwa miezi/miaka kadhaa baadae.

Kufuatana na maelezo yako basi, ni wazi kuwa barua yako inaonesha kubadilishiwa cheo na stahiki siku za nyuma lakini umesaini hivi karibuni na waajiri wako watakulipa kuanzia tarehe uliyosaini. Kwa sheria za mikakaba ya kazi utaratibu huo haupo. mwajiriwa anakuwa na haki ya kulipwa stahiki zake kama mtumishi/mfanyakazi pindi tu ajira yake inapoanza au punde tu aingiapo kwenye nafasi aliyopo. Ongea na waajiri wako, ukisisitiza kurejewa kwa maandishi yaliyopo kwenye mkataba/barua yako ya ajira.

Unaweza kufungua madai kulipwa stahiki zako kama mwajiriwa kwa kadri mkataba unavyoeleza.
 
Asantee sana mkuu
Lakini uku kwenye sekta binafisi hakuna utaratibu wa kupanda cheo/Salary scale mwajiri anaamua tu kufanya changes wakati wowote.
 
Wakuu nina shida ya kisheria..nimeshurutishwa kutoa simu yangu na kupekuliwa pasipo kibali cha mahakama wala police nahitaji kufungua kesi na kudai fidia
 
Back
Top Bottom