editedamefanya makubwa na atakumbukwa kwa mengi ktk utumishi wake wote uliotukuka wa umma...
Kati ya makatibu wakuu wote ikulu waliopita
je Luhanjo legacy yake itakuwa ni ipi kwa mtazamao wako?
Kati ya makatibu wakuu wote ikulu waliopita
je Luhanjo legacy yake itakuwa ni ipi kwa mtazamao wako?
NEHEMIA MCHECHU
Hakuomba kazi NHC
Haku qualify kwa ajili ya hiyo kazi
Lakini Philemon Luhanjo aliamua kumpa hiyo kazi pasipo kufuata taratibu kwa sababu ni mtu wa kwao
BLANDINA NYONI
Ka taka awe DG pale TRA
Ka taka apewe Ugavana BOT
Ka taka awe DG pale PSPF
Lakini mzee Luhanjo kashindwa kumpa post aliyptaka ili awe DG NSSF sasa mama yuko under investigation na PCCB...kuhusiana na tuhuma za rushwa
Kuna watu hawakupewa kamisheni zao wameenda kumpakazia kila sehem
wengine baadae
tunaendelea na legacy ya Luhanjo Ikulu
The damage he has done to this country will haunt us for generations.
The damage he has done to this country will haunt us for generations.
Kati ya makatibu wakuu wote ikulu waliopita
je Luhanjo legacy yake itakuwa ni ipi kwa mtazamao wako?
Tinker nadhani wewe hujui jinsi Luhanjo alivyokuwa instrumental kuhakikisha kuwa mama Nyoni hazipati hizo nafasi ulizoziorodhesha!!Ukweli ndio huo ,kama Luhanjo angetaka huyo mama apate hizo nafasi ambazo zote ana qualification nazo angezipata lakini kwa sababu ya principles za huyu mama they never saw eye to eye na mstaafu Luhanjo!! Nchi hii kwa mtu yeyote muadilifu ataonekana ni mbaya kwasababu anawazibia watu ulaji wao hivyo majungu yanakuwa mengi na ndiyo yanayompata huyu mama ;lakini mwisho wa siku ukweli ukijulikana ,she will be exonerated na wabaya wake watapata adhabu yao hapa hapa duniani na wala sio ahela!! GT,Dau na genge lenu mpo hapo!!
NEHEMIA MCHECHU
Hakuomba kazi NHC
Haku qualify kwa ajili ya hiyo kazi
Lakini Philemon Luhanjo aliamua kumpa hiyo kazi pasipo kufuata taratibu kwa sababu ni mtu wa kwao
BLANDINA NYONI
Ka taka awe DG pale TRA
Ka taka apewe Ugavana BOT
Ka taka awe DG pale PSPF
Lakini mzee Luhanjo kashindwa kumpa post aliyptaka ili awe DG NSSF sasa mama yuko under investigation na PCCB...kuhusiana na tuhuma za rushwa
Kuna watu hawakupewa kamisheni zao wameenda kumpakazia kila sehem
wengine baadae
tunaendelea na legacy ya Luhanjo Ikulu
Umesahau hapo juu mkubwa huyo mama nyoni alitaka sana u-CAG pia kabla utouh hajateuliwa,alifyt kwa nguvu zote ikashindikana!
Umesahau hapo juu mkubwa huyo mama nyoni alitaka sana u-CAG pia kabla utouh hajateuliwa,alifyt kwa nguvu zote ikashindikana![/QU
Kitu kimoja ninakuhakikishia ni kuwa kama Blandina Nyoni angekuwa ndio CAG madudu yote ya aibu anayoyafanya Utouh ya kuiaibisha profession yake yasingetokea na uvundo mwingi ungewekwa hadharani. Wadanganyika ni wepesi wa kusahau; Blandina Nyoni alipokuwa Accountant General ndio mahesabu yote ya serikali yaliwekwa sawa na malalmiko ya mishahara serikailni ikawa historia!! Ni mweledi , mzalendo na muadilifu, you cannot take that from her!!