Legacy ya Luhanjo Ikulu

Sijui utendaji wa Mama Nyoni, ila Nehemia ni mchapa kazi na ana maadili.

Mmeshindwa kumpakazia jamaa kwenye rushwa sasa mnampakazia ukabila. Mbona amewapa kazi wachaga, wahaya, etc wengi zaidi ya kabila lake?

Mwacheni mzee wa watu apumzike kwa amani. Huyo mzee alikuwa mwiba wa wengi na wengi wangependa aondoke mapema zaidi.

I personally respect the man. He was able to help people without expecting 10%. Alikuwa haongeki. It is very rare to find such characters serikalini.
 
one word

RICHMONDULI
 
Legacy ya nini! Huyu mzee alikuwa anafanya kwa contarct. Hii mizee ya tanzania ni mijizi na kushabikia nepotism tu, hakuna cha experience.
 
Sijui utendaji wa Mama Nyoni, ila Nehemia ni mchapa kazi na ana maadili.

Mmeshindwa kumpakazia jamaa kwenye rushwa sasa mnampakazia ukabila. Mbona amewapa kazi wachaga, wahaya, etc wengi zaidi ya kabila lake?

Mwacheni mzee wa watu apumzike kwa amani. Huyo mzee alikuwa mwiba wa wengi na wengi wangependa aondoke mapema zaidi.

I personally respect the man. He was able to help people without expecting 10%. Alikuwa haongeki. It is very rare to find such characters serikalini.
Eti ....haongeki ! Vichwaa vingine bwana ! Ule utetezi wake juu ya tuhuma za DJ na the way (kejeli) alivyo present, ile ni rushwa mama ! Kuna mkurugenzi mmoja alikuwa mali asili na utalii alimbeba sana hebu wadau mtukumbushe !
 
Porojo zingine bwana!
Mkuu, sio porojo.
Hebu tuambie, Nehemia Mchechu alishindanishwa na akina nani katika nafasi yake hadi akaibuka mshindi? Unafahamu walipokwa nafasi hadi akapewa yeye?
Luhanjo kaacha uvundo mkubwa sana katika Utumishi wa Umma, tofauti na mtangulizi wake Matern Lumbanga
 
Back
Top Bottom