miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Ni kweli, ndio maana anatakiwa kwenda taratibu sana. Maana akishindwa kutetea tuhuma basi na chuo wanammalizia kabisa, future inavurugwa
Yani ukijipindua kidogo inakula kwako.....!alafu kuwakamata hao ufanye kazi kweli kwakuwa ni tabia zao,wanajua mbinu zote.Siku moja nao waliwe kabaang tu maana wengine wanataka kuwapakaza ----- ----- watoto wa watu.