Lecture anamtaka mpenz wangu!!

Lecture anamtaka mpenz wangu!!

mkuu hii siyo stor ya ku2nga ni kwel ila cwez fanya vho ni bado mapema xana.ukwel utajulkana soon!

Ukweli utajulikana eeennh...soon!!!!

Usiache mpenzi wako akawa na stress kwa muda mrefu ukisubiri ukweli kujulikana,sikuombei mabaya ila kuna mambo ya kusubiri na mengine ni kama dharura

M out
 
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana

Mruhusu akamwone Supervisor wake amefikia pale ROMBO GARDEN VIEW...atamaliza vizuri tu research yake...
 
THANX ted mnisamehe bure elimu yangu ni kidato cha nne n cko chuo ndo maana nimechapia

Kaka you seem to be humble...hii reply yako nimeipenda...nimeipenda sana...keep it up...

It signifies your strength and not weakness .....wengi tunakimbilia kutumia lugha ngumu...
 
Mzee hapo huyo demu keshaliwa na huyo Lecturer wake,kajifanya kukuambia ili kwamba hata ukija kushtukia ajitetee kuwa alishakuambiaga! Kama huamini fuatilia performance yake kama atafelishwa na huyo Lecturer!! Never ever !!!
 
Kaka you seem to be humble...hii reply yako nimeipenda...nimeipenda sana...keep it up...

It signifies your strength and not weakness .....wengi tunakimbilia kutumia lugha ngumu...

ASANTE MKUU WAYNE mara nying m2 ukijifanya mjinga huku una target yako basi Mjanja hubadili na kuwa mjinga
 
Mzee hapo huyo demu keshaliwa na huyo Lecturer wake,kajifanya kukuambia ili kwamba hata ukija kushtukia ajitetee kuwa alishakuambiaga! Kama huamini fuatilia performance yake kama atafelishwa na huyo Lecturer!! Never ever !!!

MKUU cdhan na wala ctak kuamin kama kagegedwa but tahadhar ni muhimu
 
mtumikie kafiri utimize lengo lako. Mwambie ampe mzigo ,

MKUU,GEORGEALLEN, mke wako akiombwa penzi na bosi ili apandishe cheo kazn UNGEMRUHUSU AKAGEGEDWE UNGEJISIKIAJE ANAKUAGA KUWA SASA NDO NAENDA KUGEGEDWA?think twice broda
 
sanaa tu hizo kamanda hawa mabinti jinsi wao wwanavyosumbua lecturer wao sio rahisi yeye kuja
kukuambia ni muongo je hao aliowahi kuwakubali alikuambia?
 
Ukweli utajulikana eeennh...soon!!!!

Usiache mpenzi wako akawa na stress kwa muda mrefu ukisubiri ukweli kujulikana,sikuombei mabaya ila kuna mambo ya kusubiri na mengine ni kama dharura

M out

MKUU nahakika mungu yu muweza yy ndiye kimbilio then mengne yatafuata.v2 kama hvi huwez kurupuka vinahtaj ushahd vingnevyo ntamwalibia mpenz wangu future yake
 
sanaa tu hizo kamanda hawa mabinti jinsi wao wwanavyosumbua lecturer wao sio rahisi yeye kuja
kukuambia ni muongo je hao aliowahi kuwakubali alikuambia?

MKUU HARAKATI nakupgnga kwa sababu ifuatayo,MWANAMKE HAWEZ KUJA KUKWAMBIA KILA MWANAUME AKIMTONGOZA ATAKWAMBIA IWAPO TU ANAPATA VITISHO AU KUTESWA KIJINSIA.JE UNADHANI WANAWAKE NI WAOGA WAKUSEMA KAMA WAKITONGOZWA?? LA HASHA ANAKUWA ANATUNZA MAHUSIANO YENU.JIULZE KVP?? SIMPLE ,KILA MDA AKIKWAMBIA ANATONGOZWA BASI UTAINGIWA NA HOFU NA KUPELEKEA KUHARIBU MAHUSIANO YENU KVP BASI PALE UTAKAPOINGIA NA HOFU YA KUMKOSA MKEO CKU MOJA UTAANZA KUWEKA SPARE TYR NAKUPELEKEA KUHARIBKA KWA MAHUSIANO
 
Sijawah kuwa na mahusiano wa kimapenzi na hao watu.....!ni mwiko kwangu kwakuwa wanavitabia vya kuambikizana na vichafu.Yani hata mtu aende na tabia yake nzur bas wewe mpe miez 6 tu bas utaisoma no.
Wanahisia za kimapenz maana nao ni binadamu lakin kwanini umlazimishe mtu kitu chake bhanaaaa?yani umuharibie mtu maisha kwa ajil ya Maku!!!!!"
Wahuni yani walitaka wakudinye hadi wewe? pumbav zao.
 
MKUU the boss ndo nimemwambia afanye hvo but kaniambia kuwa chuon kwao hakuna pa kushitak coz wote ndo wale wale 2

acha uongo wewe chuo gani hicho? taja jina la chuo mimi nitakwambia pa kupeleka malalamiko
 
Back
Top Bottom