Lecture anamtaka mpenz wangu!!

Lecture anamtaka mpenz wangu!!

Thanks kwa kunitia moyo kwa maana peke yangu siwezi bila MwanajamiiOne,na yeyote ambae yupo kwa upande wangu.Ni kwa neema tuuuuuuuuuuuu!Barikiwa

Hahahahha mpendwa peke yetu hatuwezi bila nguvu na uweza wa the Most high, nimepitia the same believe me but nilipita na kushinda ndio maana unaona hii ishu nimeishikia bango.
 
Hahahaha hajui kama we mjanja, ungemtafutia vijana wamfanyie ile kitu inaitwa "0713 express yourself" mbona rufaa angeisahau mwehu huyo....

Unajua hizo stahil zakumtafutia watu mtu dhaifu kama yule naona uzushi........mpaka kakimbilia vyombo vya sheria ujue anaomba poooo!
 
Ungejua COURSE WORK ndo Lecturer haingiliwi kabisaaaaaaa! Hata ukifanya hivo vitu NAKUSAISHIA KIMAFIA TU!!!!!!! Mhhhhhhhhhhhhh! Hapo dawa ni kuwa mpole tu, na kujiandaa na Supu.

Ubaya una mwisho wake. Usipopambana anachoka kukushambulia.

lara 1 uko sahihi haingiliwi wakati wa kusahihisha sawa but inapotokea amekuwekea INCOMPLETE wewe kama mwanafunzi unaitwa unaleta vithibitisho vyako kuwa ulifanya HOMEWORK ZOTE na mtu mwingine anazipitia na kuzisahihisha upya kama Lecturer alikupunja marks inajulikana wazi. Yaani hapo ndio mwsho wa matatizo. I know what I am referring here sweets! Hakuna kuwa mpole kwa haki zako aisee kama unazijua na unajua wapi pa kuzifuatilia

CC: nifah
 
Last edited by a moderator:
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana

Out of curiosity. Hivi TAKUKURU hawashughuliki kesi hizi?
 
Huyo binti inawezekana kashaliwa sasa anatafuta kujidefence tu kama vipi jamaa yangu funika kombe mwanaharamu apite ingawa yataka moyo sana maadamu jamaa haondoki nayo basi maana hawa malecturer wa aina hiyo ni sheeeeedaaa sana.
 
Acha utani dogo. wewe hako kademu kako kanakupima tu. hivi kwa akili yako mitego ya malecturer aje kukuambia wewe? mimi nafkiri anapenda tu kujipaka shombo!! Na kama ikitokezea yuko kwenye kumi na nane au penalt box wala hatokuambia kabisa, hizo opportunities na chances wanazitafuta wao wadada, na kwa namna fulani ni njia ya kujipa ujiko na kujipaisha pia. Na hapa naomba niungane na mawazo ya zanzibar spices.
 
Back
Top Bottom