Lecture anamtaka mpenz wangu!!

Lecture anamtaka mpenz wangu!!

kama una yesu ,hauwezi kuchukua muda kufikiria hilo.kwani the bible says,"tafuteni kwanza ufalme wa mungu na haki yake,na mengine mtazidishiwa".........asiogope incomplete at the expense of her God!!!!
 
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana

kama anamtaka kwa njia hyo ni rushwa, mwambie aende TAKUKURU hiyo ni rushwa ya ngono.
 
Default Lecture anamtaka mpenz wangu!!
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
Huyo mpenzi wako mi namfahamu hana utulivu kuanzia mavazi mpaka tabia... hivyo lazima aliwe na hata akiend kusema kwa nani cuz mwisho wa siku atawekewa D ambayo itaonyesha ame carry Reasearch so lazima atarudi huko mkoani mwaka ujao.kwa kifupi mpenzi wako hana utulivu hata kidogo...! I know her!! much!! much!!! more!
 
Sio ustaw wala nini.....!nina kesi huko na lecturer wangu alitaka kunidinya mie.Wanapenda mizigo kama nini,unaweza hata kushikishwa ukuta.

mnhhhhhhhh
your choice of words....so...arousing lol
 
miss strong pole sana but huyo alotaka kukudinya ilikuwaje? Aliomba mdinyo akiwa sehemu ya kazi? Alitumia mbinu gani kuufikisha ujumbe? sorry lakini mamii.
 
Last edited by a moderator:

Unafikiri kufikisha ujumbe kwao ni inshu hao watu......aliniambia anataka nimpe kitu changu.Nikaona anataka kuniletea balaa mimi ukizingatia records zake si nzur,alafu ana force upuuz huo MwanajamiiOne
 
Okay mamii mie nilidhani kuna tofauti na mahali na namna alivyofikisha ujumbe. Mfano kama alikuambia/ kuomba minyo mkiwa ndani ya ofisi, darasa au chumba cho hotel......... alikuomba/lazimisha/taka kwa nguvu, kubembeleza au kwa sms? Hapo kwenye kuzingatia records zake sidhani kama palikuwa na haja as long as unahisi kuwa HASTAHILI Kutokana na hadhi yake kama mwalimu wako huna haja ya kuwa worried wala kucheck records zake.
 
Incomplete maana yake hujatimiza (i.e hujafanya kabisa sehemu au yote) either coursework (CW) or hujafanya UE. Kama hiyo Research ina component ya coursework then huyo binti anapaswa asikose hata moja. But kama haina CW basi ahakikishe anafanya vizuri hy research yake na akisubmit hakuna incomplete labda supp tu!
 
Okay mamii mie nilidhani kuna tofauti na mahali na namna alivyofikisha ujumbe. Mfano kama alikuambia/ kuomba minyo mkiwa ndani ya ofisi, darasa au chumba cho hotel......... alikuomba/lazimisha/taka kwa nguvu, kubembeleza au kwa sms? Hapo kwenye kuzingatia records zake sidhani kama palikuwa na haja as long as unahisi kuwa HASTAHILI Kutokana na hadhi yake kama mwalimu wako huna haja ya kuwa worried wala kucheck records zake.

Wanafunzi tunatabia yakuambiana juu ya walimu wanaotufundisha...!
Sio lazima ziwe mbaya tu hata nzur pia husemwa ingawa mara nying sifa mbaya huvuma sana....
Records mbaya pia nikigezo,mwalimu anaweza akawa hana mke na anamuhitaj binti huenda sasa anataka kumuoa lakin once utakapokuwa na record mbaya unafikir itajengeka nini kichwan kwa mtu?@MwanajamiiOne
 
Okay mamii mie nilikuelewa ndivyo sivyo, kuwa kama ungekuta record ni nzuri ungemfikiria au? Coz nilijua kuwa as long as ni mwalimu wako (na kama ameutumia ualimu wake) kukuomba mdinyo ndio ingekuwa ishu ya kushtaki. Ndio mana nikauliza mlikuwa wapi wakati akikutaka maana unajua nao ni binadamu? Na unajua kuwa hata ikigundulika kuwa lecturer na mwanafunzi wake wamependana genuinely kuna taratibu zinazofuatwa ili kuheshimu 'maamuzi yao?'
 
Sina shida na mtu aliye na uhusiano wa kimapenz na mwalimu coz once mtu anapokuwa chuon ni mtu mzima na ana maamuz yake,tatizo ni mtu kutumia ualimu wake sasa au ile dhamana yake kumtaka mwanafunz mpaka kupelekea kumdhurumu haki yake kwa kofia ya ulecturer wako
Mapenzi ni makubaliano kwani lecturer ni nan mpaka akubaliwe na yeyote,mimi binafsi nimekataa ila yupo atayekubali.Ila kukataa kwangu isiwe kigezo chakuninyima haki yangu ya msingi iliyonipeleka chuo.
 
Good, hapo tuko kwenye ukurasa mmoja mamii.
 
Back
Top Bottom