Lecture anamtaka mpenz wangu!!

Lecture anamtaka mpenz wangu!!

Hebu fanya hivi @ binamutz

Weka jina la chuo,idara na course anayofundisha huyo mwalimu hapa

Ukimwi na Sembe vitushinde,hata unyanyasaji wa kijinsia nao??????( kamakweli)

Si shauri aweke jina la mwalimu ni hatari maana hakuna ushahidi wowote ambao huyo binti anao.Ni majanga jamaniiiiiiii....... binamitz
 
Last edited by a moderator:
Hebu fanya hivi @ binamutz

Weka jina la chuo,idara na course anayofundisha huyo mwalimu hapa

Ukimwi na Sembe vitushinde,hata unyanyasaji wa kijinsia nao??????( kamakweli)

Si shauri aweke jina la mwalimu ni hatari maana hakuna ushahidi wowote ambao huyo binti anao.Ni majanga jamaniiiiiiii....... binamutz
 
Last edited by a moderator:
Si shauri aweke jina la mwalimu ni hatari maana hakuna ushahidi wowote ambao huyo binti anao.Ni majanga jamaniiiiiiii....... binamutz

Miss strong unaniangusha..mbona hakuna sehemu nimesema aweke jina la mwalimu

consent and anonymity in relation to ethical issues are in my finger tips madam
 
Last edited by a moderator:
Miss strong unaniangusha..mbona hakuna sehemu nimesema aweke jina la mwalimu

consent and anonymity in relation to ethical issues are in my finger tips madam

OLESAIDIMU sikuangalia vizur mkuu unisamehe hapo.Chuo na kozi si mbaya.....nilikuwa na mtahadhalisha maana njia ambayo napitia mimi ni hatar sana,nimepelekwa mahakaman kwa upuuz kama huu.
 
Last edited by a moderator:
OLESAIDIMU sikuangalia vizur mkuu unisamehe hapo.Chuo na kozi si mbaya.....nilikuwa na mtahadhalisha maana njia ambayo napitia mimi ni hatar sana,nimepelekwa mahakaman kwa upuuz kama huu.

pole mamy..ni mapito tu hayo kama unasimamia haki yako basi usipige goti mpaka tone la mwisho.

Hope una watu wa sheria unaoshughulika nao pamoja juu ya hiyo kesi.

All the best mamy
 
Last edited by a moderator:
pole mamy..ni mapito tu hayo kama unasimamia haki yako basi usipige goti mpaka tone la mwisho.

Hope una watu wa sheria unaoshughulika nao pamoja juu ya hiyo kesi.

All the best mamy

Thanks mkuu.....yaah ni mapito ingawa ni mazingira magumu sana mtu unapitia.
Yaaaah wapo wanasheria ambao tupo pamoja ingawa nataka kuongeza ili kuleta amsha amsha.
 
Pole ndg. Kwani hajui kutatua kesi za incomplete chuoni? Ila huyo demu atakuwa analiwa hadi dakika hii unapost hapa!!! Lengo lake ni kukuringishia ww kuwa ana market sn na hivyo hakutegemei ww tu. Je ni wanaume wangapi ambao wamekuwa wakimtongoza na kukuambia? Je alio wahi kuwakubalia alisha kwambia wangapi? Mademu wa siku hizi wengi akili zao ziko makalioni /nyuma ya sketi zao-akikwambia kitu changanya na zako then make decision.
 
Hao watu bhana........sipendagi hata kuwasikia basi tu sina jinsi.
Cha muhimu kusoma kwa bidii na kutunza mitihan yako endapo litatokea lolote ujue jinsi yakujitetea.

Teh teh teh.....mmmmmh miss strong, kwanini??wamewahi nin....
 
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana

Duh!!!Mkuu umesema Elimu yako ni form 4?yaan kaamua kuacha kuwataja wanachuo kaamua kumtaja Lecturer tu.
 
MKUU the boss ndo nimemwambia afanye hvo but kaniambia kuwa chuon kwao hakuna pa kushitak coz wote ndo wale wale 2

Hii si kweli, lazma kuna mahali anaweza kushtaki hapo chuo na wakimsumbua zaidi anaenda umoja wa wanasheria wanawake (TAWLA) watamsaidia, sexual harassmnet ni kosa sio kwa chuo tu bali hata kwa dola zilizo nje ya chuo.
Japo inabidi aende taratibu hatua kwa hatua, aanzie ndani ya chuo
 
Teh teh teh.....mmmmmh miss strong, kwanini??wamewahi nin....

Mmmmhhhhhh!baadh yao hawana adabu kabisaaa alafu wanajuana kwa tabia zao,wanakuwa kundi moja yaani ukimlipua mmoja bas tegemea nyuki hao ile mbaya.
 
Hii si kweli, lazma kuna mahali anaweza kushtaki hapo chuo na wakimsumbua zaidi anaenda umoja wa wanasheria wanawake (TAWLA) watamsaidia, sexual harassmnet ni kosa sio kwa chuo tu bali hata kwa dola zilizo nje ya chuo.
Japo inabidi aende taratibu hatua kwa hatua, aanzie ndani ya chuo

Hivi vitu vinahitaji ushahid sana......la sivyo ni hatari.
 
Mmmmhhhhhh!baadh yao hawana adabu kabisaaa alafu wanajuana kwa tabia zao,wanakuwa kundi moja yaani ukimlipua mmoja bas tegemea nyuki hao ile mbaya.

Teh teh teh,So uliogopa nyuki uka.......
 
Teh teh teh,So uliogopa nyuki uka.......

Sijawah kuwa na mahusiano wa kimapenzi na hao watu.....!ni mwiko kwangu kwakuwa wanavitabia vya kuambikizana na vichafu.Yani hata mtu aende na tabia yake nzur bas wewe mpe miez 6 tu bas utaisoma no.
Wanahisia za kimapenz maana nao ni binadamu lakin kwanini umlazimishe mtu kitu chake bhanaaaa?yani umuharibie mtu maisha kwa ajil ya Maku!!!!!"
 
Kwi kwi kwi kwi kwi!!!Miss strong ushanivunja mbavu naangaika kuiunga,,daaaaaah JF rahaaaaa:noidea::help:
 
Kwi kwi kwi kwi kwi!!!Miss strong ushanivunja mbavu naangaika kuiunga,,daaaaaah JF rahaaaaa:noidea::help:

Ndo hivyo mwaya......vijimambo vyao.Juzi kati wakat natoka zangu mahakamani nikakuta wadada wanasukumana kisa lecturer kawagonganisha magar alafu huyo lecturer mwenyewe sasa anawatumia ile mbayaaa.Wanaomjua wanasema yaan alikuja mwanakondoo hapa lakin sijui shetan kigulu gan kamuingia.Ila ya kaisari na apewe kaisari na vya Mungu apewe Mungu.
 
Haya mambo yanatokea sana vyuoni, in most cases ni walimu kuwataka mabinti na in few cases mabinti kuwataka walimu. Personally, I know about five classmates ambao at some point chuoni walimu waliwataka, bahati tu walimu wenyewe hawakuwa wakware kiasi hicho so kulikuwa hakuna kulipizana visasi baada ya kuwa-turned down. But kuna cases kama mbili ambazo wanafunzi walirudia mwaka kwa kuwakataa walimu, mmoja wapo ni alikuwa girlfriend wa rafiki yangu sana. Mwalimu alivyomtaka, binti akaofa kumpa pesa, mwalimu akagoma kabisa and worse enough akawa anataka ule mtandao wa bei rahisi (Kabang!). Binti aligoma kabisa na akarudia mwaka.Ni rahisi kwa observer kusema "She should know what to do" but trust me the whole system is ----! Wapi anaenda kushitaki? Do you truly think its easy for a 20 yrs girl kwenda kwa Prof XXXX akamsemee Prof YYYY kwamba anamtaka?

Wakati fulani, baada ya wanafunzi wengi kupata suplimentarries, mwalimu mmoja akasema mwaka huu tutawat***a kweli, na waliwat***a kweli kweli. Kwa wale wanaosema ni kiherehere, wasubiri mabinti zao waliwe Kabang ndio watakapojua ubovu uliopo kwenye vyuo vyetu. Haya mambo kama hujayashuhudia bora uyaache tu kama yalivyo,
 
Ndo hivyo mwaya......vijimambo vyao.Juzi kati wakat natoka zangu mahakamani nikakuta wadada wanasukumana kisa lecturer kawagonganisha magar alafu huyo lecturer mwenyewe sasa anawatumia ile mbayaaa.Wanaomjua wanasema yaan alikuja mwanakondoo hapa lakin sijui shetan kigulu gan kamuingia.Ila ya kaisari na apewe kaisari na vya Mungu apewe Mungu.

miss strong mahakamani kuna nini tena??dah I salute u bby....hao watakua wa USTAWI nin?
 
Hivi vitu vinahitaji ushahid sana......la sivyo ni hatari.

Ni kweli, ndio maana anatakiwa kwenda taratibu sana. Maana akishindwa kutetea tuhuma basi na chuo wanammalizia kabisa, future inavurugwa
 
miss strong mahakamani kuna nini tena??dah I salute u bby....hao watakua wa USTAWI nin?

Sio ustaw wala nini.....!nina kesi huko na lecturer wangu alitaka kunidinya mie.Wanapenda mizigo kama nini,unaweza hata kushikishwa ukuta.
 
Back
Top Bottom