Lecture anamtaka mpenz wangu!!

Lecture anamtaka mpenz wangu!!

hapo nimekusoma best. Sasa nae huyu form four failure kwa nini asitafute mwanamke wa design zake? Mi naona huyu wa chuo awaachie wasomi wajivinjari nae.

mkuu frakitosho hahahaha pole yako naona bado hujajua lyf ww unaish na baba na mama nn?kama umebalehe ucngeweza kuandika huo utumbo
 
mkuu elimu yangu form 4 .ni v2 gan hvo nijuze ndo mana nikaomba msaada hapa

mkuu chuo naogopa kutaja ila kpo mkoani ncje nikafanyiziwa bure watu hawakawii

Okay shemeji binamutz ikiwa critical feel free to PM me nitakusaidia. Ila tu nakuomba kuwa zaidi ya mdadisi kwa kila anachokwambia hiyo mdada
 
Last edited by a moderator:
sweetheart, kwenye research hakuna kitu kinachoitwa incomplete, hakuna matokeo ya incomplete kwenye research ni either amefaulu (pass) au amefeli (fail). Nakushauri kuanzia sasa jifunze kuwa makini na kuelewa hizo terminologies ndugu yangu

mkuu co kama czielew hzo terminologies isipo kuwa anadai chuon kwao wana utaratbu wao wa kufanya hyo research coz hata me 1tym aliponiambia hvo nilishangaa.
 
okay shemeji binamutz ikiwa critical feel free to pm me nitakusaidia. Ila tu nakuomba kuwa zaidi ya mdadisi kwa kila anachokwambia hiyo mdada

asante shemej yangu nimekuelewa xana.asante kwa ushauri wako nimejfunza kitu toka kwako kwel umenifumbua kitu.one lv
 
Last edited by a moderator:
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
Mwambie aache woga, ajitahidi kuwa makini katika report ya hiyo research yake. Kama ana mashaka sana basi amuone "academic advisor" au "dean of students" hawa watu wapo kwa ajili ya kesi kama hizo!
 
mwambie aache woga, ajitahidi kuwa makini katika report ya hiyo research yake. Kama ana mashaka sana basi amuone "academic advisor" au "dean of students" hawa watu wapo kwa ajili ya kesi kama hizo!

mathcom asante mkuu nishamwambia
 
malalamiko gani? Weeeeeeeeeeeee! Thubutu yake! Nchi ishauzwa hii. Mwenyewe nimefanyiwa fitna ila nimenyuti tu! Hata angenipa supu 100, nitazifanya tu ila sio kungoa jino simba na mkono!!!!!!!!!!

Chozi la mnyonge lalipwa kwa mungu baba.

pole mkuu lala 1 ww unge2mia njia gan kusolve problem?
 
niliwai mteka lecturer kwa issue hizo.nilikodi watu 6 kipind niko chuo. Walichofanya hao vijana 6 walimliberal na kumrecord video.

Huyo lecturer alikuwa anasumbua sana mabint wengi japo alikuwa ameoa na watoto 6.

Ile video nikamtumia wife yake atimaye waliachana pia nikatoa copy nying nikazimwaga chuo. Yule lecturer alikimbia chuo sasa hiv nasikia ni mkulima.

Hii ilitokea nchi fulani ya mbali siwez itaja.

Ila nilimtumia barua ya kuomba samahan lakin sikuandika jina. Nimetubu.

mkuu ulitenda dhambi aisee me cwez fanya kitu hcho nishamshauri kaz kwake akiamua kuliwa au laa,japo inaniuma coz naiman malipo ni hapa hapa duniani
 
incomplete means disco

Acha kumrusha roho mwenzio, kwa mtu mwenye Incomplete kwanza sio rahisi kuruhusiwa kuingia kwenye chumba cha mtihani,..... yaani akiwa na incomplete ambayo ni below the mark basi haruhusiwi kusit for EU..... unless ni Incomplete ambayo sio below the mark. Na ikiwa hivyo bado haimaanishi ni disco bana......................kama ni mfuatiliaji wa haki zake. Incomplete inaanzia kwenye uzembe wa mwanafunzi mwenyewe.
 
Hebu fanya hivi @ binamutz

Weka jina la chuo,idara na course anayofundisha huyo mwalimu hapa


Ukimwi na Sembe vitushinde,hata unyanyasaji wa kijinsia nao??????( kamakweli)
 
Back
Top Bottom