Lecture anamtaka mpenz wangu!!

Lecture anamtaka mpenz wangu!!

Yaani huyo msichana 'hajui' cha kufanya?
hajui wapi apeleke malalamiko yake?

MALALAMIKO GANI? WEEEEEEEEEEEEE! THUBUTU YAKE! Nchi ishauzwa hii. Mwenyewe nimefanyiwa fitna ila nimenyuti tu! Hata angenipa SUPU 100, Nitazifanya tu ila sio KUNGOA JINO SIMBA NA MKONO!!!!!!!!!!

Chozi la mnyonge lalipwa kwa Mungu baba.
 
pole
rudisha avatar ya zamani basi
hii iko more childish
 
Hakuna kitu kama hicho wewe usidanganyike. Mwambie mpenzi wako asome na awe makini na assignments zake zote. Afanye assignemnts zote na aweke vizuri matokeo kwa ushahidi. Kuandikiwa INCOMPLETE ina maana hajafikia marks za kumwezesha kuPASS ambazo hujumlisha assignments za darasani i.e. take home assignments, group/individual assignments, tests pamoja na UE. Akiwa amefaulu assignments kiasi cha kuruhusiwa kufanya UE huyo Lecturer hawezimwandikia INCOMPLETE. Na hata aiamua kumfelisha wapo wanaopitia matokeo kabla hayajatolewa.

Ungejua COURSE WORK ndo Lecturer haingiliwi kabisaaaaaaa! Hata ukifanya hivo vitu NAKUSAISHIA KIMAFIA TU!!!!!!! Mhhhhhhhhhhhhh! Hapo dawa ni kuwa mpole tu, na kujiandaa na Supu.

Ubaya una mwisho wake. Usipopambana anachoka kukushambulia.
 
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana

so jina la huyo lecturer ndo kama hyo Id yako hapa?
 
Ungejua COURSE WORK ndo Lecturer haingiliwi kabisaaaaaaa! Hata ukifanya hivo vitu NAKUSAISHIA KIMAFIA TU!!!!!!! Mhhhhhhhhhhhhh! Hapo dawa ni kuwa mpole tu, na kujiandaa na Supu.

Ubaya una mwisho wake. Usipopambana anachoka kukushambulia.

lara 1 uko sahihi haingiliwi wakati wa kusahihisha sawa but inapotokea amekuwekea INCOMPLETE wewe kama mwanafunzi unaitwa unaleta vithibitisho vyako kuwa ulifanya HOMEWORK ZOTE na mtu mwingine anazipitia na kuzisahihisha upya kama Lecturer alikupunja marks inajulikana wazi. Yaani hapo ndio mwsho wa matatizo. I know what I am referring here sweets! Hakuna kuwa mpole kwa haki zako aisee kama unazijua na unajua wapi pa kuzifuatilia
 
MALALAMIKO GANI? WEEEEEEEEEEEEE! THUBUTU YAKE! Nchi ishauzwa hii. Mwenyewe nimefanyiwa fitna ila nimenyuti tu! Hata angenipa SUPU 100, Nitazifanya tu ila sio KUNGOA JINO SIMBA NA MKONO!!!!!!!!!!

Chozi la mnyonge lalipwa kwa Mungu baba.
lara 1 uinambie hata wewe mjanja umekamatika????
 
Hao watu bhana........sipendagi hata kuwasikia basi tu sina jinsi.
Cha muhimu kusoma kwa bidii na kutunza mitihan yako endapo litatokea lolote ujue jinsi yakujitetea.
 
Kama ni MUHAS ama Bugando lazima aliwe!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
niliwai mteka lecturer kwa issue hizo.nilikodi watu 6 kipind niko chuo. walichofanya hao vijana 6 walimliberal na kumrecord video.

huyo lecturer alikuwa anasumbua sana mabint wengi japo alikuwa ameoa na watoto 6.

ile video nikamtumia wife yake atimaye waliachana pia nikatoa copy nying nikazimwaga chuo. yule lecturer alikimbia chuo sasa hiv nasikia ni mkulima.

hii ilitokea nchi fulani ya mbali siwez itaja.

ila nilimtumia barua ya kuomba samahan lakin sikuandika jina. nimetubu.
 
But huoni kama bii measure uliyoichukua ilikuwa ni kubwa sana ? Hizo video pics ungezipeleka kunakohusika kama ushahidi si kwa mkewe ambako umesababisha kuvunjika kwa ndoa na wanae hao 6 wapate shida (they were innocent kids) au ??
 
Ckia kumegewa hal ya kawaida sana hapo hata tutoe ushaul vp kusov sahau akil ya dem kumteka tcha akizubaa ataliwa kwel labda ukashtak kwa kikwete.
 
Ckia kumegewa hal ya kawaida sana hapo hata tutoe ushaul vp kusov sahau akil ya dem kumteka tcha akizubaa ataliwa kwel labda ukashtak kwa kikwete.

Hahhahha............ kweli ni akili ya dem bwana, na katu asije akamwambia mie nimeliwa kwa kuwa nlihofia kufelishwa mh .............. tutahoji upeo wa huyo demu
 
.................Hakuna kitu kama hicho wewe bwana............. haiwezekani chuo kizima kiwe kimeoza na bado kinasurvive bwana!...................... We mwambie awe anakuletea assignments zake anazofanya for references!

Hivi form four failure anaweza kukagua assignments za chuo?
 
Kwa ufupi Mr.Kayumba aka Shule ya Kata hapo demu wako kalambwa tayari.
Nani kakupa taarifa?
Kama ni yeye ujue kalambwa tayari sasa anasawazisha ili ukiona lolote ujue huyo mkulu anafuatilia tu.
Kwa wadada wa siku hizi ukisikia hata tetesi ujue kaliwa sembuse manyoya!!?
 
Back
Top Bottom