Lebanon wema uliogeuka kuwa mwiba

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Ninaifatilia histoia ya Nchi ya lebanon kabla ya Kuigia mwiba ndipo nakumbuka maneno ya baba yangu kuwa:

Katika maisha yangu nijaribu kuwasaidia watu kadri ya uwezo wangu lakini lazima nijue si kilaa mtu anastahili msaada wangu, ninapomsaidia mtu nikumbuke huyu kesho asijekuwa karaha kwangu, maana kuna watu hata ufanye nini na bado wanataka wakuangamize, kukusema vibaya, wagumu kushukuru, waaribu mipango yako. kwaiyo kuwa makini.

Nchi ya Lebanon kabla ya mwibo ilikuwa nchi ya watu huru, nchi ilikuwa na furaha, nchi ilikuwa na Maendeleo, Nchi ilikuwa na Amani, nchi ilikuwa inaongoza katika Middle east lakini leo hayo yote ni kitendawili.

Nawakumbusha wana JF unapotaka kusaidia angalia nani wa kusaidia si kila mtu anastahili msaada wako maana hao unaowasaidia inaweza kuwa chanzo cha anguko lako kama ilivyotokea kwa Libanon.

Nimemaliza
 
Inashida gan Lebanon mkuu
 
Hii takataka pelekea form 4 C wenzako kule kayumba.

Unaandika ushuzi ushuzi tuu ukishakula maharage, mbege ya moto na ugoro ulioharibika.

Kama huwezi kuandika thread iliyonyooka basi kojoa, jamba, lala, siyo lazima kutujazia servers zetu, sawa We Maimuna?
 
Kama unadhani nitauliza unajidanganya.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ninaifatilia histoia ya Nchi ya lebanon kabla ya Kuigia mwiba ndipo nakumbuka maneno ya baba yangu kuwa:

Katika maisha yangu nijaribu kuwasaidia watu kadri ya uwezo wangu lakini lazima nijue si kilaa mtu anastahili msaada wangu, ninapomsaidia mtu nikumbuke huyu kesho asijekuwa karaha kwangu, maana kuna watu hata ufanye nini na bado wanataka wakuangamize, kukusema vibaya, wagumu kushukuru, waaribu mipango yako. kwaiyo kuwa makini.

Nchi ya Lebanon kabla ya mwibo ilikuwa nchi ya watu huru, nchi ilikuwa na furaha, nchi ilikuwa na Maendeleo, Nchi ilikuwa na Amani, nchi ilikuwa inaongoza katika Middle east lakini leo hayo yote ni kitendawili.

Nawakumbusha wana JF unapotaka kusaidia angalia nani wa kusaidia si kila mtu anastahili msaada wako maana hao unaowasaidia inaweza kuwa chanzo cha anguko lako kama ilivyotokea kwa Libanon.

Nimemaliza
Khaaa malizia basi kuwa waliwaalika ...wapalestina ...makundi yao yakaanza kufanya ugaidi fokea pale yakaizidi nguvu serikali...makundi hayo yana nguvu sana ....nadhani wana dictate hata nani awe Rais...makao makuu ya ugaidi kanda ile....kifupi sana....
 
Hii takataka pelekea form 4 C wenzako kule kayumba.

Unaandika ushuzi ushuzi tuu ukishakula maharage, mbege ya moto na ugoro ulioharibika.

Kama huwezi kuandika thread iliyonyooka basi kojoa, jamba, lala, siyo lazima kutujazia servers zetu, sawa We Maimuna?
Mkuu mbege imehusikaje apo
 
Hawa form4 wamemaliza mitihani basi toka waijue JF ni kutujazia servers zetu tuuuuu na nyuzi za kiushuzi ushuzi.

Nini sasa hiki umeandika we maimuna?

Hebu rudi Facebook kule ndo size yenu
sasa mkuu yanini yote hayo!

wewe na yeye Nani wakwanza kujiunga hapa Jf?
 
Mm nimemuelewa kwamba baada ya kebanoni kuwakaribisha waperestina pale lebanoni ndo nchi yao ikaingia migogoro km siko sawa mnirekebishe
 
Lebanon waliwakaribisha wapelistina, kundi la kigaidi la hesbollah liko lebanon haliachi kufanya ushenzi wake kwa israel. Limejikita huko mpaka limepata nguvu za kushiriki siasa za lebanon. Lebanon isikubali kundi hilo kutumi ardhi yao kuishambulia israel watakuja kupigika siku moja wasipowadhibiti magaidi hayo
 
Umesomeka maana mambo ya Lebanon yanajulikana ndio maana hata raisi wa uturuki anasema vita vikiisha ashitakiwe PM..
Hana mpango wa kuwapokea wapalestina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom