Umeanza vizuri mkuu ila umemalizia kibwege sana.
Unajua wakati mwingine huwezi kuelewa kitu mpaka kikuguse kulingana na heshima na hadhi yako tena unapokuwa watu maarufu sana kila unachokifanya kinaweza kutafsiriwa hovyo.
Nikushauri tu uache wakati ujibu ipo siku utakuja ukumbuka huu uzi.
Ni way out mkuu, sio kwamba kila tatizo unaweza kujibiwa humu na mnalalamikia sana IT as if kila tatizo IT wanaweza kusolve humu, vitu vingine unaweza kugoogle, anyway Whatsapp mods third parties wanaweza kuweka hiyo feature mbeleniKichwa cha habari chahusika,
Nikiri tu yakuwa mimi ni mmoja ya watumiaji wa mtandao pendwa wa Whatsapp ila nimekuwa nikikutana na changamoto ya kuungwa magroup mbalimbali bila ridhaa yangu hali inayopelekea kuwa na magroup mengi sana kuanzia la primary mpaka vyuo, ya kanda, harakati, biashara, vyama, team za mipira na za maofisi yote tuliyopita jumlisha na field za miaka hiyo ya chuo.
Kutokana na kero kama hizo huwa natamani sana nitoke katika baadhi ya magroup kwani mengi hayana tija tena ni story tu na vilugha visivyo vya mbele wala nyuma kitu ambacho kinanisababishia nifikirie kuleave group but kutokana na HESHIMA yangu na profile yangu nahofia nikitoka wataanza kusema anajifanya KASOMA SANA, mara sikuhizi ana HELA SANA au kisa ni MTU FULANI mbona zamani tuliwa naye au kisa.....
NAHITAJI MSAADA WA MA MAWAZO ON HOW I CAN LEAVE WHATSTAPP GROUP WITHOUT NOTIFICATION.
YANI ILE 0743...... has left the group isitokee kwenye group.
Nileft kimya kimya inawezekana wakuu?
Just change number on whatsapp alafu aga then ondoka, itachukua mda mpaka wajue umeondoka so.........
Delete WhatsApp account yako then jiunge tena ila unaweza ukakosa magroup mengine unayoyaitaji,.
Usibishane na watoto jf imejaa na watoto ni nani atakayemuadd mtoto kwenye group la michango ya harusi?Mkuu, naona hujawekwa kwenye Yale magrupu ya michango ya Harusi uone yanavyokera.. Toka uone lawama zake ...
Waambie nahisi wengi ni watoto tunatofautiana hekimaNilijua babaisha itakuwa nyiiiiiingi. Nimemkumbuka mwalimu wangu wa Math alikuwa kilaza mkimmuliza swali jipangeni atakumbusha makosa mengi na kuzungusha asitoe jibu. Hivi hatujajua kuwa lei whatsapp leo ni sehemu ya kijamii huwezi kuleft kibwege kama ni mstaarabu . Afadhali aliyeshauri uage
Hiyo ndio nmeifanya ila inanijazia server kwenye cm yangu coz msg zote zinaingia tofauti tu ni kwamba hakuna kelele zikiingiaHill swali kuna mdau alishawahi kuuliza humu ila nimeshindwa kuupata huo Uzi,ni kwamba;
Nenda kwenye settings ya whatsapp yako,then notifications halaf 'group notification' then una 'mute'au disable group notifications au
Nenda ' group info' ya group husika halafu select 'mute' hapo nadhan utakua umefanikiwa.
Hawakumind inategemea na status yako katika watu haoUnashindwaje kuondoka kwenye group la WhatsApp kama umeona halina tija? Watu mpoje?
Very simple. Waage tu. Waambie kwa sasa kuna changamoto unapitia na unatoka kwenye group na utaomba kurudi ukishakaa sawa. Tuma hiyo then left immediately bila kuruhusu mjadala. I have done several times na wala hakuna aliyenimind
Naunga mkono hojaKwa hiyo hamna mwenye ujanja huo kutoka ktk group kimya kimya maana bila watu kuona wala kujua!!!????? Maana naona mnajibu tofaut na majibu anayoyataka basi semeni hamuwezi kuliko kujifanya kujibu majabu ambayo sio.
Hicho kinachoitwa “status” ndo kinawafanya watu waendelee kuwa watumwa. Kama umeona kabisa group halina tija na limebakia kuforwardiana ujinga, no matter whatever “status” you think you have, usiogope kusepa kisa unahofia watakuonaje. Kuondoka group haimaanishi kwamba utakuwa haucommunicate na baadhi ya members privatelyHawakumind inategemea na status yako katika watu hao
Nilikuwa kwenye kundi moja la shule ya sekondari..sasa hilo kundi liligeuka kama vile hakuna ninachoweza kufanya bila hilo kundi.Nikajiuliza hivi kwa miaka yote hiyo tuliyoachana shuleni hadi hapa nilipofikia mbona sikupata msaada wa hao wanakundi?!Nilichukua maamuzi magumu nikaondoka,najua walisema sana ila niko huru.
Post ujinga tu mkuu hata mavi, lazima admin atakutoa
Toa yako Basi, being an IT expertHaya sasa ni mawazo mgando yani yameoza
Uza simu au poteza kaa kama miezi miwili hivi utajikuta haupo automaticallyKichwa cha habari chahusika,