Leave Whatsapp group bila members wengine kujua

Haupo huru kujiamlia kivyako?? Sidhani Kama hiyo kitu unayotaka ipo. Mbona unapojoin laazma wenzio waambiwe you joined sasa unataka kuleft kimya kimya kwann
 
Kichwa cha habari chahusika,
Nikiri tu yakuwa mimi ni mmoja ya watumiaji wa mtandao pendwa wa Whatsapp ila nimekuwa nikikutana na changamoto ya kuungwa magroup mbalimbali bila ridhaa yangu hali inayopelekea kuwa na magroup mengi sana kuanzia la primary mpaka vyuo, ya kanda, harakati, biashara, vyama, team za mipira na za maofisi yote tuliyopita jumlisha na field za miaka hiyo ya chuo.

Kutokana na kero kama hizo huwa natamani sana nitoke katika baadhi ya magroup kwani mengi hayana tija tena ni story tu na vilugha visivyo vya mbele wala nyuma kitu ambacho kinanisababishia nifikirie kuleave group but kutokana na HESHIMA yangu na profile yangu nahofia nikitoka wataanza kusema anajifanya KASOMA SANA, mara sikuhizi ana HELA SANA au kisa ni MTU FULANI mbona zamani tuliwa naye au kisa.....

NAHITAJI MSAADA WA MA MAWAZO ON HOW I CAN LEAVE WHATSTAPP GROUP WITHOUT NOTIFICATION.

YANI ILE 0743...... has left the group isitokee kwenye group.
Nileft kimya kimya inawezekana wakuu?
Hakunaga
 
Back
Top Bottom