Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,575
Ukipata jibu nitag..
Umeanza vizuri mkuu ila umemalizia kibwege sana.Ha ha ha ha ha ha pole san MKuu Shana Chuma
Mimi nafanya hivi nina namba mbili
1.Mawasiliano
2.Whatsapp
so hii ya whatsapp haina watu wengi, so naishi freely
na in case umeungwa pasipo kujua inabidi kwa unalimute group kwa mwaka mzima
kisha ondoa zile automatic download
hope utakuwa salama
Lakini pia kuwa na hofu kama yakwako ya kujitoa katika magroup ni nidhamu ya woga kaka
inabidi uwe na maamuzi kama mwanaume, inanipa wasiwasi vipi shida ikitokea katika familia yako utaweza kuihandle
Umewaza kama mimi mkuuHata kama kungekua na namna ya kujitoa bila watu kujua, haileti picha nzuri kuonanekana haupo kumbe ulishatoka.
Bora utoke wajue kwamba umetoka, endapo atakuuliza mtu unaweza kumjibu kama kuna ulazima, huwezi kuwafurahisha watu wote.
Whatsapp wangeweka mtu uweze kuthibitisha kuungwa kwenye group, request ije lakini niamue mimi kwamba niungwe au nisiungwe kama ilivyo kwenye facebeek friend request.
Just change number on whatsapp alafu aga then ondoka, itachukua mda mpaka wajue umeondoka so.........Kichwa cha habari chahusika,
Nikiri tu yakuwa mimi ni mmoja ya watumiaji wa mtandao pendwa wa Whatsapp ila nimekuwa nikikutana na changamoto ya kuungwa magroup mbalimbali bila ridhaa yangu hali inayopelekea kuwa na magroup mengi sana kuanzia la primary mpaka vyuo, ya kanda, harakati, biashara, vyama, team za mipira na za maofisi yote tuliyopita jumlisha na field za miaka hiyo ya chuo.
Kutokana na kero kama hizo huwa natamani sana nitoke katika baadhi ya magroup kwani mengi hayana tija tena ni story tu na vilugha visivyo vya mbele wala nyuma kitu ambacho kinanisababishia nifikirie kuleave group but kutokana na HESHIMA yangu na profile yangu nahofia nikitoka wataanza kusema anajifanya KASOMA SANA, mara sikuhizi ana HELA SANA au kisa ni MTU FULANI mbona zamani tuliwa naye au kisa.....
NAHITAJI MSAADA WA MA MAWAZO ON HOW I CAN LEAVE WHATSTAPP GROUP WITHOUT NOTIFICATION.
YANI ILE 0743...... has left the group isitokee kwenye group.
Nileft kimya kimya inawezekana wakuu?
Mkuu, naona hujawekwa kwenye Yale magrupu ya michango ya Harusi uone yanavyokera.. Toka uone lawama zake ...Yani mtu mzima unaogopa kufanya kitu kisa mtu mwingine atalalamila?!kwani ni lazima uwe kwny hayo magrp kama unaona hamna cha maana unatoka tu
Mkuu alishakutag au badoUkipewa jibu nitag mkuu
Wengi hawajui mkuu wanamjibu maswali ambayo hajaulizaMkuu alishakutag au bado

humu kuna IT kibao ningependa kuona msaada waoUkimute unakuwa hujatoka. What happens ni kwamba msg za group hilo zikiinga hupati “notification”/ husikii kelele ila zinaingia fresh tu na unaweza kuzisoma na kucomment. Taabu yote ya nini? Just be a man enough uondoke humoHill swali kuna mdau alishawahi kuuliza humu ila nimeshindwa kuupata huo Uzi,ni kwamba;
Nenda kwenye settings ya whatsapp yako,then notifications halaf 'group notification' then una 'mute'au disable group notifications au
Nenda ' group info' ya group husika halafu select 'mute' hapo nadhan utakua umefanikiwa.
Kwa hiyo hamna mwenye ujanja huo kutoka ktk group kimya kimya maana bila watu kuona wala kujua!!!?????Unashindwanje kuondoka kwenye group la WhatsApp kama umeona halina tija? Watu mpoje?
Very simple. Waage tu. Waambie kwa sasa kuna changamoto unapitia na unatoka kwenye group na utaomba kurudi ukishakaa sawa. Tuma hiyo then left immediately bila kuruhusu mjadala. I have done several times na wala hakuna aliyenimind
Kwa hiyo hamna mwenye ujanja huo kutoka ktk group kimya kimya maana bila watu kuona wala kujua!!!????? Maana naona mnajibu tofaut na majibu anayoyataka basi semeni hamuwezi kuliko kujifanya kujibu majabu ambayo sio.Ukimute unakuwa hujatoka. What happens ni kwamba msg za group hilo zikiinga hupati “notification”/ husikii kelele ila zinaingia fresh tu na unaweza kuzisoma na kucomment. Taabu yote ya nini? Just be a man enough uondoke humo
Kwa hiyo hamna mwenye ujanja huo kutoka ktk group kimya kimya maana bila watu kuona wala kujua!!!????? Maana naona mnajibu tofaut na majibu anayoyataka basi semeni hamuwezi kuliko kujifanya kujibu majabu ambayo sio.Ha ha ha ha ha ha pole san MKuu Shana Chuma
Mimi nafanya hivi nina namba mbili
1.Mawasiliano
2.Whatsapp
so hii ya whatsapp haina watu wengi, so naishi freely
na in case umeungwa pasipo kujua inabidi kwa unalimute group kwa mwaka mzima
kisha ondoa zile automatic download
hope utakuwa salama
Lakini pia kuwa na hofu kama yakwako ya kujitoa katika magroup ni nidhamu ya woga kaka
inabidi uwe na maamuzi kama mwanaume, inanipa wasiwasi vipi shida ikitokea katika familia yako utaweza kuihandle
Ukizipata nishtue mkuuMwenye link za magroup yalyo active ani tumie or aniwekee apa please
Mkuu, naona hujawekwa kwenye Yale magrupu ya michango ya Harusi uone yanavyokera.. Toka uone lawama zake ...




Unakuwa hujaleft bado...Hill swali kuna mdau alishawahi kuuliza humu ila nimeshindwa kuupata huo Uzi,ni kwamba;
Nenda kwenye settings ya whatsapp yako,then notifications halaf 'group notification' then una 'mute'au disable group notifications au
Nenda ' group info' ya group husika halafu select 'mute' hapo nadhan utakua umefanikiwa.