The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Last edited by a moderator:
Shikamoo kaka binamu!!
Usisababishe watu wauze mashamba ya urithi bure!!
stori za watu kuachana zinasababisha nipaone MMU mahali pa maumivu
leteni na zile,'tulipendana,na sasa tuko pamoja,tumeoana'
Hii itamfaa Kaunga
Iyo inaitwa mahaba nipoteze kama meli ya malaysia...ok nxt tym ntasema kwann nliachana nae wkt nampenda mpaka kesho...
Pia wakat uo mwingine ntaandikwa kiswahili mwanzo mwisho
Mi nna deni Tiffany & Co. la Princess cut diamond stud earrings kwa bi mdogo.
Ila sharti ni moja...lazima a-make tena Dean's list shuleni na yupo on track hivyo sina ujanja.
Sure!....can u b tht!
If you don't mind Unaweza share ni hereni au mkufu na price yake?
Ni hereni (studs)....na ni under $500.00.
Kuna wakat nawaza vingine ila nxt tym ntasema how dd we end up diff ways....thn u guyz can judge frm there...
Sometimes when we let go of people we love..we do it for them to be happy...not because we dnt lav them...ths counts
Great story...very touching love is a beautiful thing
Wife material ni ngumu kuwapata.
I can say, they are extinct.
You can say that again.
Ndo maana wanasema it is better to have loved and lost than never to have loved at all.
Love is Beautiful. There is nothing like it especially when it is true and you are loved too.