hahahahaha my dada waweza kuongea kwa mifano kwanini usianzishe wewe
mie bado bana..ila am sure kuna walio kwenye hiyo stage,wafunguke..hizi za maumivu nazo nyingi mno
Sometimes when we let go of people we love..we do it for them to be happy...not because we dnt lav them...ths counts
Wrong gues....nimesema uko nyuma kua shez my super star na kama nikiambiwa leo hii nioe fasta wakwanza kumfikiria atakua n yy...life wasnt fair enough to let us roll....
Utajudge nxt tym baada yakujua kinaga ubaga cha kwann tuliacha....
Magombe nasubiria story kwann mliachana. its touching.... nimekutana na aina hii ya maisha najua ilivyo.......Kwa wengine ni story nzuri..intresting..lakini wengine tumepita hukoooo
been there ndugu....mtu hawezi elewa why mmeachana ila hata mimi nikiambiwa utamuoa nani my ex is the first girl to pop into my mind ingawa nimeshatoa mahari kwengine....if only.....
Tehe..pole heaven in earth...am glad we share such an experience...
mhhhhh haya
Bdae nkisema y i left her nafkir its where tutatofautiana.....pole again