Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,028
- 1,051
- Thread starter
- #81
Kwa story hiyo, katika moja ya makosa ambayo umefanya kwenye maisha ni kuachana na huyo dada.
Ingawa hujasema chanzo cha kuachana lakin naona ni ufedhuri wako tu sura na umbo lake halikukidhi matamanio yako.
Ukiendelea na desturi hiyo, utapata mwanamke wa ajabu na utahangaika maisha yako yote.
Wrong gues....nimesema uko nyuma kua shez my super star na kama nikiambiwa leo hii nioe fasta wakwanza kumfikiria atakua n yy...life wasnt fair enough to let us roll....
Utajudge nxt tym baada yakujua kinaga ubaga cha kwann tuliacha....