Learning to love..ts so beautiful!

Learning to love..ts so beautiful!

Sure the boss!....ila kila ambacho hua nakiona n kitu cha maana bado naona hakitamaanisha how thnksfull and gratefull i am to her...

Will thnk of wat u said...
Diamonds iwe hereni au mkufu ndio zawadi perfect kwa mwanamke very special
 
Tehe tehe....inawezekana pia...nakumbuka our couple was the among the sounding one's pale chuo...everyone fell in love wth it..i knew km kuna ambae ana hisia kali anaweza kujua ths story belong to who an who...
umeona! ila kausha story yake nzuri!
 
Safi... Ila mngekuwa wote mpaka saivi stori ingevutia zaidi..!!

Tht z just a summary of beautifull thngs btn us...nikisema nasema vyote ntakua mzizi mkavu apa!...tehe tehe
 
Sure the boss!....ila kila ambacho hua nakiona n kitu cha maana bado naona hakitamaanisha how thnksfull and gratefull i am to her...

Will thnk of wat u said...

mmh..!!. nahitaji msaada mpendwa Magombe Juniour juu ya taratibu zinazofatwa ili mke apate talaka pale anapoona bora aidai kutoka kwa mme.!
 
mapenzi ndivyo yalivyo... huanza kimzaha mzaha. usiombe mmoja anogewe wakati mwingne alikuwa anapita tu.
 
Unaweza ishi the rest of your life usimpate kama huyo....ingawa now you think its easy kupata wife material

Na shida iliyopo i jst compare new gf nae...anawaacha mbali sanaaaa....

Kwa mfano ths gal hakua mtu mwenye kupenda ela na wala hakua mwenye kunihamasisha kufanyia ela fujo...she was strict...labda coz ckua na kipato ndo mana...lkn cha kushangaza na yy anajua namna ambavyo naweza kumpa kias chochote kilicho ndan ya uwezo wang for now....wat she do z only ask for it...lkn hafanyi ivo na wala haion km ni option....

Loooh kuna wanawake wameletwa dunian kuja kua bests mom an wife...sure!!
 
Mahaba nichinjie baharini hiyo!!!!
Misifa ya kumwaga,halafu umemuacha!! Aaaaargh!!!!
Ila andika kiswahili best,wengine kiklithtu is not kweyabo!!
 
stori za watu kuachana zinasababisha nipaone MMU mahali pa maumivu

leteni na zile,'tulipendana,na sasa tuko pamoja,tumeoana'
 
Diamonds iwe hereni au mkufu ndio zawadi perfect kwa mwanamke very special

Lini utaninunulia nami, au mie si special? BTW Vicky ilishatick so kuangalia tamthilia kama kawa. Thanks again.
 
Shikamoo kaka binamu!!
Usisababishe watu wauze mashamba ya urithi bure!!

Kama ataishi maisha marefu na asikutane na mwanamke mwingine kama huyu basi she deserves diamonds and only diamonds
 
Mahaba nichinjie baharini hiyo!!!!
Misifa ya kumwaga,halafu umemuacha!! Aaaaargh!!!!
Ila andika kiswahili best,wengine kiklithtu is not kweyabo!!

Iyo inaitwa mahaba nipoteze kama meli ya malaysia...ok nxt tym ntasema kwann nliachana nae wkt nampenda mpaka kesho...

Pia wakat uo mwingine ntaandikwa kiswahili mwanzo mwisho
 
Lini utaninunulia nami, au mie si special? BTW Vicky ilishatick so kuangalia tamthilia kama kawa. Thanks again.

Okay Hongera sasa ntakuja kutazama mpira huko... Nisipokununulia wewe diamonds ntamnunulia nani tena babe? Good things come to those who wait
 
Iyo inaitwa mahaba nipoteze kama meli ya malaysia...ok nxt tym ntasema kwann nliachana nae wkt nampenda mpaka kesho...

Pia wakat uo mwingine ntaandikwa kiswahili mwanzo mwisho
Naingoja hiyo season II!!
 
mapenzi ndivyo yalivyo... huanza kimzaha mzaha. usiombe mmoja anogewe wakati mwingne alikuwa anapita tu.

Inakua balaa tupu...bt thnx to God tht gal loved me....and she knew how to show it....nlikua na kiburi coz she meant the world to me...alikua a family..a frend..a sister...kila kitu...

Gals mjifunze kitu apa...wanaume tunahitaj care..respect...being recognized and on top of all loved wth action..
 
Fanya hivi mtafutie zawadi ya kumshukuru ambayo itakuwa kitu very special kama hereni za diamond hivi umpe ..itakuwa ni thanks ya forever

Sasa hapo wataanzisha tena uhusiano hata kama kaolewa !

Trust me !
 
Back
Top Bottom