cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,309
- 74,854
@lemutuz_nation - THE GOOD NEWS.......LE MUTUZ TV ONLINE (LTO) ....nilianzia Jamiiforums ...nikaingia Facebook ...nikafungua Blog yangu Mwaka 2012....Mwaka 2014 nikajiongeza kwenye all the Social Media tools pamoja na Instagram ...kote humo tulichofanya ni KUJITOFAUTISHA NA WENGINE ndicho kilichotufanya tufikie hapa tulipo na Social Media ...now its about time NIAMEAMUA KUSOGEA MBELE TENA to the Next step ....yaani LE MUTUZ TV ONLINE & STREAMING LIVE ....ni an expensive PROJECT na ndio hasa iliyokuwa sababu ya Safari zangu za hivi Karibuni to CHINA, MACAU, HONG KONG na JOHANNESBURG/SOUTH AFRICA ...ilikuwa ni matayarisho ya kuingia into TV ONLINE ...so now I am ready to go ...kwanza ni makamilisho ya ujenzi wa Studio ambao tayari umeshaanza at the TANCOT HOUSE gorofa ya Tatu pale Posta Mpya ....ujenzi utachukua like Mwezi mzima wa June na by the middle of July tutaanza kuwa rasmi hewani ...na kama kawaida yangu kama nilivyofanya kwenye Social Media I am looking FORWARD TO CHANGE THE GAME sio kisindikiza wengine tu ....NEVER ...so guys huko kwenye Online TV Industry get ready I AM IN.. So help me God!... KAMA UNA USHAURI AU MAONI YA KUSAIDIA PLEASE NITUMIE NAYAPOKEA BILA UBISHI! - le Mutuz Nation -
Ameirusha saa moja iliyopita
==========
Hongera sana Mr. W. J. Malecela kwa wengi tunasubiria. Na mimi ni mmoja wa tulioanza kukusoma humu tangu... hadi instagram. Mola azidi kukuongoza na kukusimamia.
==========
Update kwa picha
================
Update
23rd August 2017
Update
31st August 2017
Ameirusha saa moja iliyopita
==========
Hongera sana Mr. W. J. Malecela kwa wengi tunasubiria. Na mimi ni mmoja wa tulioanza kukusoma humu tangu... hadi instagram. Mola azidi kukuongoza na kukusimamia.
==========
Update kwa picha
================
Update
23rd August 2017
Update
31st August 2017