Anadai show itakuwa kubwa sababu waandaaji yeye anatoka USA na juma pinto anatoka Uk
Source clouds fm
Anaongea sasa hivi
my take
Jamaa kuna mambo anaongea kama ajielewi
"Vox popoli vox dei"
Huyu si nimesikia atagombea ubunge?
Hivi hawa watu wenye akili za kimiss kweli wanapotaka kujiingiza bungeni wanafikiri watafanya nini pale?
CCM walikosea sana kuja na hii habari ya VITU maalum ndo chazo cha watu wa hovyo kuitamani bunge hadi heshima ya kibunge haipo tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.