Huyu ndio mama yake?
Nimepitia comments nimecheka mbavu zangu. Burudani tosha hii. Nadhani huu ni mwaka wake wa 54 au 55!!! Green guard haswa.
Jamaa ana 56, bado nondo nne tu aanze Kula pensheni...
Umejuaje ana miaka 56? Uliwahi kukiona cheti chake cha kuzaliwa? Uliwahi kuona pasi yake ya kusafiria? Uliwahi kuona kitambulisho chake chochote kile kinachoonyesha umri wake? Au unamjua nje ya hapa JF?
Umejuaje ana miaka 56? Uliwahi kukiona cheti chake cha kuzaliwa? Uliwahi kuona pasi yake ya kusafiria? Uliwahi kuona kitambulisho chake chochote kile kinachoonyesha umri wake? Au unamjua nje ya hapa JF?
Hahahahahaha mkuu nani analifaidi hilo kitakoreeeeeeeee.....Kumbe jamaa ni punga!?
Hakuna anayemchukia wala hakuna sababu ya kumchukia the "King of all bongo social media and blogs" aka "Le Mkareez wa mabeibeez", Le Mutuz nation, we hujui tu..yeye mwenyewe anakuambia biashara ya utumbo haikosi harufu pamoja na inzi wengi so kama hivi sasa watu wanavyomponda mtandaoni yeye ana make millions of money.. ha ha ha na wote wanaomponda wanabaki kuwa ni Mburulazzzzzz...
Mama yake sio huyu jamani acheni unafiki !!
Hata kama mnamchukia mtu si vema kupakaza maneno ya uongo
Nasikia Shati lake ulikilichana kwa ustadi, unapata shuka futi 6*6
Ana make money jitu lina miaka 56 linalelewa na mama yake wa kambo mwenye miaka 40....Hakuna anayemchukia wala hakuna sababu ya kumchukia the "King of all bongo social media and blogs" aka "Le Mkareez wa mabeibeez", Le Mutuz nation, we hujui tu..yeye mwenyewe anakuambia biashara ya utumbo haikosi harufu pamoja na inzi wengi so kama hivi sasa watu wanavyomponda mtandaoni yeye ana make millions of money.. ha ha ha na wote wanaomponda wanabaki kuwa ni Mburulazzzzzz...
Kweli huyu shati lake lazima lifunike starlet.
Le king of social media!!le mukarezz,le mbebez wa ukweeel!le sexy sexy...nampendaje boss wangu mtarajiwa!Ndio Le big show,Le Baharia,The King of social media alias Super billionea!
Hahahahahaha mkuu nani analifaidi hilo kitakoreeeeeeeee.....