Le mutuz 1983

Le mutuz 1983

Le-Mutuz ndio habari ya mjini kwa sasa-wanajipeleka wenyewe ili awa promote kimaisha-mujini kama humjui Le-Mutuz then u is nobody

Hapa ndo alikuwa ametoka kumaliza ile diploma ya "sheep engineering" aliyowahi kuandika kwenye C V nini!?
 
Wewe sio mwanaume? Inakuwaje anakupromote mjini? I am surely me, and le mituz has not promoted me!
Hapa naona kuna misunderstanding ya lugha gongana. Well kama mutuz haja kupromote,maybe its because u is not worth it
 
Huyu Jamaa tangu miaka hiyo atudanganye kwenye hii kitu:
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/35559-tangazo-maalum-mradi-wa-kazi-majuu.html
Sina hamu na issue zake kabisa. Wengi pengine hamtakuwa mmezaliwa JF kipindi hicho. Aisee alitudanganya!!!

lol mbavu zangu mie.. naona watu mnamachungu na hizo dollar.. halafu enzi hizo ndio alikuwa mleta habari zote za umbea kuhusu CCM.. nashangaa eti siku hizi ni mtetezi wa CCM hapo ndipo huwa ninashindwa siasa...
 
Naye atalipiwa mahari kama wazee wa kujikomba wenzie!hili dubwana limeishi abroad 30 years linarudi bongo linajipendekeza kwa wanaume wenzie na kuwaita boss na matajiri wa ajabu!!
Anawatia aibu sana ex wabeba box,hivi angezaliwa na baba mkulima angeweza kweli kubanana bongo?ujumbe wa nn sijui CCM yeye amefanya ajira anawa discourage vijana kuwa le baharia
 
Hapa ndo alikuwa ametoka kumaliza ile diploma ya "sheep engineering" aliyowahi kuandika kwenye C V nini!?

ni engineer wa SHEEP...au ndo wale sheep wanaokuwa genetically modified?
 
Le-Mutuz miaka 50 lakini maisha anayoishi kama ya U-18
 
Back
Top Bottom