Lazima utachepukwa

Lazima utachepukwa

Wanaume na nyie!!!!!


Yaani urudi home, in high spirits, na kazawadi mkononi, hapo hapo unaniambia nioge fasta tuipoze koo na kuku choma, kwenye unywaji unaniambia how you love me, n staff na mpangowa kuninunulia jichenila dhahabu. Nikisemese vibaya NIMEROGWA? Thubutuuuuuuuuu!!!!!!!! Hapo inabakia ku cement hayo mawazo yako tu usije ghairi.

Yaani hata kama haikuwako kwenye plan, tukifika mlangoni tu nachojoa nguo zote, na kulianzisha game hapo hapo mlangoni.

naona nyege zako zinapandishwa na material things zaidi aseeeeh!!!!!!!!!!
 
Afadhali awe anakiburi peke yake, unakuta mtu ana kiburi na dharau-mie nachapa makofi tu maana sina ndoa ya kisasa mwafrica mimi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom