Lazima nioe wanawake wawili

Lazima nioe wanawake wawili

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,554
Reaction score
2,717
Mimi, Powell Gonzalez lazima nioe wanawake wawili. Wa kwanza atakuwa mtu wa kabila au asili yoyote lakini wa pili lazima awe anatokea Ujerumani.

Namaanisha 'A German girl', elewa neno 'German girl' usikurupuke.

SnapInsta.to_518884598_17894092506255489_2498072427862911268_n.jpg
 
Ushauri wa bure, anza kujua na kutafuta mafundi na fundi wa fundi wako hasa kwa BMW, bora benzi na VW kidogo.
Ishu nyingine tafuta Maduka ya spare OG, anza kutafuta na kuwa na urafiki ma watu wa chuga kwa urahisi wa spare kutoka kenya.
Ila ukiongelea stability, comfortability ni European car. Toyota ni hali tu ya maisha na mafundi inakwamisha na nyingi kuozea garage.
 
Garage yako iko wapi boss? Maana huwezi kunambia Huna Garage
 
Hakikisha unampata mjerumani mwenyewe, na ukamchukulie huko ujerumani, usikubali upewe mke mjerumani hapa tanzania itakula kwako, ni bora mwajuma ndale ndefu..
Ukimpata mjerumani aliyetulia aahh, mbona we huna shida ya kugongewa na fundi nyundo, Au lah tafuta na mchepuko wa kijapan au kichina 🤣😂
 
Eeeh huo ndio mpango, mjerumani ni kwa ajili ya kuvimba tu akafu ntatafuta m-UK mmoja wa kumbuluza
 
Hakikisha unampata mjerumani mwenyewe, na ukamchukulie huko ujerumani, usikubali upewe mke mjerumani hapa tanzania itakula kwako, ni bora mwajuma ndale ndefu..
Ukimpata mjerumani aliyetulia aahh, mbona we huna shida ya kugongewa na fundi nyundo, Au lah tafuta na mchepuko wa kijapan au kichina
Mchepuko wa kichina atakutana na bikra au mapenzi FAKE huko
 
WAKUU mi miniunganishie kwa yule demu WA nijeria anaitwa temz ni msanii wallahi namkubali SANA ana weusi WA kahawia alafu Hana mambo mengi nipen kodi WAKUU. KUHUSU maisha Mimi ni mlala hoi TU WAKUU hum hapashindwi KITU nawasilisha🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏
 
WAKUU mi miniunganishie kwa yule demu WA nijeria anaitwa temz ni msanii wallahi namkubali SANA ana weusi WA kahawia alafu Hana mambo mengi nipen kodi WAKUU. KUHUSU maisha Mimi ni mlala hoi TU WAKUU hum hapashindwi KITU nawasilisha
Ongea na Jux akupe connection ya kudaka Nigerian celebrities tena now ni easy tu si mashemeji zetu..
 
Ongea na Jux akupe connection ya kudaka Nigerian celebrities tena now ni easy tu si mashemeji zetu..
Hahahahahaha HUYO hawezi unganisha najipanga nianzishe operation KWENYE ukurasa wake WA IG tutaelewana TU taratibu
 
Back
Top Bottom