Lazima mshinde kaloleni-JK

Lazima mshinde kaloleni-JK

Status
Not open for further replies.
Huku banda kule kagame,wakati nchi ipo kwenye serious diplomatic conflicts nahodha wake anakomalia uchaguzi wa kata.aibu iliyoje!
 
Huku banda kule kagame,wakati nchi ipo kwenye serious diplomatic conflicts na majirani nahodha wake anakomalia uchaguzi wa kata.aibu iliyoje!
 
Nashauri huo uongozi wa wilaya ya arusha uanze kufunga virago mapema kwasababu kata zote 4 zinarudi kwa CHADEMA kwa 88%.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kulikuwa na uzi mmoja leo ulioongelea wanavitongoji kukusanya majina ya wenye shahada na wakereketwa wa CCM, mmoja alisema alipata 35. Nadhani ni ushindi tosha.
 
Siku hiyo hakuna rangi CCM wataacha ona!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom