Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

Mungu hawezi mpangia ndoa kichwa maji kama wewe...unaonekana ulishindikana sehemu na bado inakuuma,itakua umri umeenda huna tumaini la ndoa.
 
we huoleki na hutokuja kuolewa kamwe
Haya Ni maneno yako.

Mwenye kauli juu ya Maisha yangu ni Mungu Wala sio wewe.Atakaposema ndiyo hakuna wa kupinga na hakuna wa kubadilisha ukweli. Na nakuombea Maisha marefu ili uje ushuhudie Nini Mungu ameniandalia
 
Watapita kama hawaoni hii komenti
 
Nsimbi,
100% true.... HATA UKIANGALIA WALIOITISHA MKUTANO WA BEIJING.
1. Wengi hawana ndoa, zilivunjika
2. Wengi ndoa zao zipo mashakani
3. Wengi vipato vyao vikubwa, kuonyesha kwamba wenzetu wakiwa juu yetu hawawezi kutawala hisia zao
 
Hii umeandika as if mabadiliko haya yameathiri upande mmoja tu wa ke.
 
Mm hili jambo silikubali kwa 100%... HV hakuna wanawake viburi naturally??
HV hakuna wanawake wenye Tania mbaya naturally??
Iweje mke akiwa na tabia mbaya mseme n lazma mume kahusika kumfanya awe na tabia mbovu??
Na ninyi mnapokuwa na matabia ya hovyo mbona mnasingiziq sisi ndio tunasababisha?
 
Wanawake wa siku hizi wanaviburi sana wanataka kuwa juu ya wanaume ndio maana ndoa nyingi zinavunjika na wanawake wengi kuwa ma single mother's
Ngoja nikwambie, hakuna mwanamke anapenda kuwa juu ya mwanaume. Mwanamke anafeel secured anapokuwa yupo chini ya mwanaume wake, ndoto ya kila mwanamke ni kupata mwanaume anayejielewa ili amtii na kumsikiliza for the rest of her life ila inapotokea kinyume chake mwanamke anaona haina haja ngoja wote wawili tushike usukani vinginevyo chombo kitatumbukia shimoni
 
Nsimbi,

This is 100% correct, lakini umezungumzia mme na mke, then ukachambua role of a woman to a man. I hope next time tusome about men then we come up into a discussion.
 
Kwa ujeuri wao ndo maana mengi yanakua singo maza.
Mimi nimeliacha moja lilikua lijeuri,sasa wanaligonga tu na kuliacha,juzi limenipigia simu oooh umeniroga ndo maana sipati mume,nikaliambia mchawi ni domo lako kama chai jaba.
Heee mkuu umelichoka kweli kweli duh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…