Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

Tafsiri ya ulichokiwasilisha likely ni hiki;

Kama kampuni ya Richmond ilikuwa ya mfukoni isiyo na ofisi wala uwezo, mbona mpaka leo hii mitambo yake imetoka kuwa ya Richmond > Dowans > Symbion inazalisha umeme na TANESCO inanunua na capacity charge inalipwa??

......Hili haliwezekani, ni lazima Edward Ngoyai Lowassa ni fisadi kupindukia na chanzo cha matatizo yote ya wa - Bongo woote na sharti awe wa kwanza kusimama kwenye kizimba cha mahakama ya mafisadi wa Magufuli!!
Kabisa!!
 
Nadhani wote tuna akili timamu humu..nikimanisha kuwa jibu tunalo kuwa kwa nini lowasa hawezi kushitakiwa..Mimi naanza na hili wengine mmalizie nyinyi.(1) Hivi boss wa lowasa si alikua jk? sasa bosi itabidi ausike tu katika hili maana yeye ndie alikua mwenye saini ya mwisho na ya kwanza katika deal kubwa zote za maslai ya nchi ila sijui kwa nini hahusishwi huyu mzee
 
Nimemuelewa vizuri mtoa mada. EL apelekwe mahakamani tujue nini hasa kilitokea na ni nani mkweli. Anayekataa asishtakiwe ana lengo gani? Hataki Lowassa apate haki yake mahakamani? Hataki serikali ipate haki yake mahakamani? Hataki wananchi tujue kwa uhakika nini kilitokea?
 
Mi nilisha apa kuwa lowasa asipopelekwa mahkaman sitaipigia CCM kura kuanzia mwenyekit had Raic.

H

Wewe sema tu kabisa hutaipigia kura kwa sababu unajua kuwa unajua Lowassa hawezi na hatakuja kushitakiwa kwa kosa lolote linalohusiana na Richmond!!

Akishitakiwa kwa hili, basi maana yake hata Magufuli naye lazima atamfuata kwenye kitanzi hicho hicho atakachomning'inizia mwenzake!

Yeye si kwa ufisadi wa Richmond bali kwa ule wa;

1. Uuzaji wa nyumba za serikali kinyume cha taratibu na sheria!!

2. Kusimamia kununua kivuko feki/kichakavu cha Magogoni kinyume cha sheria!!

3. Kusimamia ujenzi wa barabara nyingi za lami zilizo chini ya kiwango na kupelekea serikali kupoteza matrilion ya shilingi!!

Sina hakika kama kuna kiongozi wa juu yeyote atapona kuanzia utawala wa Mkapa hadi ule wa Kikwete chini ya CCM hii hii iliyooshewa na kukulia na kulea na kupaka mafuta na manukato rushwa na ufisadi wa viwango vyote iwapo makaburi
yoote yatafukuliwa!!

CCM ni ile ile ndugu yangu na kama ni usanii basi hawa watakuwa walifuzu shahada za juu kabisa za USANII na UONGO kutoka ktk vyuo vya wachawi wa Nigeria!!
 
Kiashiria cha udhaifu kwa binadamu wakati mwingine ni pale anaposhindwa kulifikisha mwisho jambo la muhimu analotakiwa kulikamilisha. Sisi kama taifa tumekuwa tunatangatanga na Jambo lililosababishwa na mtu mmoja tu na sisi kama taifa tumeshindwa kufikia mwisho wake.

Tarehe 7/2/2008 aliyekuwa Waziri wa Mkuu wa Tanzania wakati ule, Edward Ngoyai Lowassa alijiuzulu wadhifa wake baada ya kutuhumiwa kuingilia mchakato wa Zabuni ya Ufuaji Umeme iliyosababisha kuletwa kwa Kampuni ya Ufuaji Umeme ya Richmond nchini. Tangu kujiuzulu kwa Lowassa mpaka sasa imeshapita miaka zaidi ya 8 na miezi kadhaa, lakini bado suala la sakata la Richmond halijaisha

Mitambo iliyoletwa na Kampuni ya Richmond ambayo bado ipo Pale Pale ilipofungwa na Kampuni ya Richmond, imeshabadilishwa umiliki wake mara mbili. Imetoka kwa Richmond ikanunuliwa na Dowans na sasa inamilikiwa na Kampuni ya Symbion ya Marekani. Lakini sisi kama taifa tumeachwa pale pale tulipokuwa Mwaka 2008.

Kwa kuwa kuna Mahakama ya Mafisadi inaundwa na sisi kama taifa tunayumbishwa na suala la mtu mmoja tu, ambaye si kiongozi wa serikali kwa sasa, nashauri Kesi ya Kwanza kwenye Mahakama ya Mafisadi iwe ni hii ya "Ufisadi" wa Edward Ngoyai Lowassa kuhusu Ufisadi wa zabuni ya ufuaji umeme iliyosababisha Sakata la richmond.

Ni lazima Lowassa ashitakiwe ili kama yeye anao ushahidi tofauti na ule ambao wapinzani wake wanao aje nao mahakamani ili upimwe kwenye mizani ya kisheria tujue nani mkweli kati yake yeye na wapinzani wake.

Haiwezekani mitambo ile iliyoletwa na Kampuni (Feki?) ya Richmond bado ipo nchini mwetu, inafua umeme, Tannesco wanalipa Capacity charges tanesco wanauziwa umeme kutokana na mitambo ile ile iliyokuwa ya Richmond, mkataba ule ule wa kati ya Richmond na Tannesco ndiyo umekuwa ukihuhishwa na Dowans na sasa Symbion, lakini sisi kama taifa bado tunakumbushana mambo ya mwaka 2008.

Kuukata Mzizi wa fitina ni lazima Lowassa na kama wapo na wengine waliohusika na sakata la Richmond wafikishwe kwenye Mahakama ya mafisadi mara tu Mahakama hiyo itakapoanza kazi. Tunataka Kesi ya kwanza kwenye mahakama hiyo iwe dhidi ya Lowassa na wenzake waliohusika na suala la Richmond.

KESI YA LOWASSA ISIPOKUWA YA KWANZA KWENYE MAHAKAMA YA MAFISADI NITASHANGAA KWELI KWELI!!
Nitakuwa wa kwanza kumpigia kura Lowassa 2020 asiposhitakiwa kwenye mahakama ya mafisadi
 
Tena uzuri ni kwamba Waziri wa sheria ni Mwakyembe ambaye alienda hadi Marekani ili kupeleleza umiliki wa Lowassa kwa richmond , lowassa lazima afungwe .
 
Kwa nini sasa wanaendelea kumsakama?

Mkuu Allen, sina shaka unafahamu vyema kuwa manazi wa CCM wameshasema tena na tena kuwa wao wala serikali yao hawana ushahidi wa Lowassa kuwa fisadi bali ushahidi huo uko CHADEMA! Hivyo kutegemea hao jamaa wamfikishe Lowassa kwenye mahakama ya mafisadi ni sawa na "kukesha" ili ushuhudie bundi akiruka saa sita mchana!
 
Nalipa kodi na ni mpiga kura pi!!
Kama unalipa kodi..tuoneshe tax returns paperwork ili tuone inalipa kodi kiasi gani kwa mwaka...then ukishafanya hivyo ndio ukamshitaki lowasa.
Lowasa alishasema yoyote mwenye ushahidi wa sakata la Richmond juu yake basi asisite kuupeleka mahakamani. So tuone she tax returns paperwork zako ,then kama una ushahidi upeleke mahakamani
 
Lowassa hawezi kushitakiwa bila Kikwete. Kikwete alimusafisha Lowassa, akasema hana makosa, kwa hiyo huwezi kusema ashitakiwe bila Kikwete, sheria haiendi hivyo.

Unataka kutuaminisha alibi akisema mwizi hajaiba hata kama kuna exhibit basi aachiwe huru?
 
Kama unalipa kodi..tuoneshe tax returns paperwork ili tuone inalipa kodi kiasi gani kwa mwaka...then ukishafanya hivyo ndio ukamshitaki lowasa.
Lowasa alishasema yoyote mwenye ushahidi wa sakata la Richmond juu yake basi asisite kuupeleka mahakamani. So tuone she tax returns paperwork zako ,then kama una ushahidi upeleke mahakamani
sijui ni kwa nini watanzania huwa hatupendi kusoma maudhui badala yake tunaendekeza kusoma maandishi. Au umeishia tu kusoma kichwa cha habari?
 
Kiashiria cha udhaifu kwa binadamu wakati mwingine ni pale anaposhindwa kulifikisha mwisho jambo la muhimu analotakiwa kulikamilisha. Sisi kama taifa tumekuwa tunatangatanga na Jambo lililosababishwa na mtu mmoja tu na sisi kama taifa tumeshindwa kufikia mwisho wake.

Tarehe 7/2/2008 aliyekuwa Waziri wa Mkuu wa Tanzania wakati ule, Edward Ngoyai Lowassa alijiuzulu wadhifa wake baada ya kutuhumiwa kuingilia mchakato wa Zabuni ya Ufuaji Umeme iliyosababisha kuletwa kwa Kampuni ya Ufuaji Umeme ya Richmond nchini. Tangu kujiuzulu kwa Lowassa mpaka sasa imeshapita miaka zaidi ya 8 na miezi kadhaa, lakini bado suala la sakata la Richmond halijaisha

Mitambo iliyoletwa na Kampuni ya Richmond ambayo bado ipo Pale Pale ilipofungwa na Kampuni ya Richmond, imeshabadilishwa umiliki wake mara mbili. Imetoka kwa Richmond ikanunuliwa na Dowans na sasa inamilikiwa na Kampuni ya Symbion ya Marekani. Lakini sisi kama taifa tumeachwa pale pale tulipokuwa Mwaka 2008.

Kwa kuwa kuna Mahakama ya Mafisadi inaundwa na sisi kama taifa tunayumbishwa na suala la mtu mmoja tu, ambaye si kiongozi wa serikali kwa sasa, nashauri Kesi ya Kwanza kwenye Mahakama ya Mafisadi iwe ni hii ya "Ufisadi" wa Edward Ngoyai Lowassa kuhusu Ufisadi wa zabuni ya ufuaji umeme iliyosababisha Sakata la richmond.

Ni lazima Lowassa ashitakiwe ili kama yeye anao ushahidi tofauti na ule ambao wapinzani wake wanao aje nao mahakamani ili upimwe kwenye mizani ya kisheria tujue nani mkweli kati yake yeye na wapinzani wake.

Haiwezekani mitambo ile iliyoletwa na Kampuni (Feki?) ya Richmond bado ipo nchini mwetu, inafua umeme, Tannesco wanalipa Capacity charges tanesco wanauziwa umeme kutokana na mitambo ile ile iliyokuwa ya Richmond, mkataba ule ule wa kati ya Richmond na Tannesco ndiyo umekuwa ukihuhishwa na Dowans na sasa Symbion, lakini sisi kama taifa bado tunakumbushana mambo ya mwaka 2008.

Kuukata Mzizi wa fitina ni lazima Lowassa na kama wapo na wengine waliohusika na sakata la Richmond wafikishwe kwenye Mahakama ya mafisadi mara tu Mahakama hiyo itakapoanza kazi. Tunataka Kesi ya kwanza kwenye mahakama hiyo iwe dhidi ya Lowassa na wenzake waliohusika na suala la Richmond.

KESI YA LOWASSA ISIPOKUWA YA KWANZA KWENYE MAHAKAMA YA MAFISADI NITASHANGAA KWELI KWELI!!
Yan virazerrr wengine bana, wajinga ndiyo mnaosumbuliwa na ishu ya Richmond...in fact mnasumbuliwa na uwepo wa Lowassa katika siasa za Tanzania, he is a hard nut to crack, ain't he? and he is here to keep you wetting your pants for quite some foreseeable future.
 
mueleweni mtoa mada msikurupuke
Tumwelewe nini ? Hana kitu cha maana ameongea nadhani yupo Gheto Kwa Lugumi wapo na Lizabon wanabunya pesa kisha wabuni uongo , Richmond ni ya Kikwete Kama kuna mtu anawaza kuwa Lowasa atafikishwa Mahakama basi atasubiri milele mpaka anazeeka .
 
Mmiliki wa Richmond yupo na mtu aliyetumika kupotosha ukweli yupo Yaani mwakyembe wakithubutu kuleta uzushi wao wataumbuka kwani Data zote zitaanikwa wazi .
 
Lowasa hawezi kuwepa kitanzi cha ufisadi hata afanye nini ni suala la mda tu.
 
Back
Top Bottom