Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

Karibu chadema ... Huku ukiwa na pesa urais utaupata sio lazima USA watake
 
Anauza sura
 
US ndio kila kitu,kama ni kweli basi kuhama kwake kunalenga uchaguzi ujao nafasi ya urais..lkn lowassa atakubali kumuachia???
 
Haka kajamaa kana hela na ni ka kichwa kwelikweli lakini kuwa raisi??? Noooooooooooo
Uliwahi kusema haya. Mpaka sasa unaamini kana kichwa kizuri au kana kichwa kopo? Kukariri vifungu vya Biblia ndo kichw?

Naomba nifahamu elimu ya Nyarandu na chuo alichosoma na alisoma nini?
 
Maneno kama hayo ya kutakiwa na serikali ya Amerika ilikuwa ni ishara ya ubwege alionao kichwani.
 
Hii ndo akili ya mtu tunayemwita ana maono ya kuwa rais wa Tanzania hii. Ubora duni kabisa wa wanasiasa wa nchi hii.
 
Hahahahha.. Leo unaumbuka na ndio mgombea wako huyo wa huko kwa manyumbu chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…