Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
First time naingia kiwanja, nikakutana na dada mmoja mnyamwezi, katika kumdodosa small talk - tulikuwa stuck in an awkward position ambayo small talk muhimu, siyo kwamba nilikuwa namtokea wala nini- nikamuuliza, wewe una goals gani? Unataka kufanya nini baada ya kazi hii sorta dead end?
Basi mie nina mentality zile zile za "lawyer and doctor". Mdada akaniambia anataka kufanya kazi katika Waste Management, and not in those refined terms. Nikamuangalia mara mbili kutafuta any hint of sarcasm, lakini nikaona yuko serious kabisa.
Akanielewesha vizuri kabisa kwamba she has a passion for preserving the environment, she sees waste management as the perfect career kwake yeye kufanya kitu ambacho kitam satisfy intellectually/emotionally etc na at the same time ata make good money.
Huku nimetoka bongo mjomba alitaka kuwa accountant partly kwa sababu hakutaka kufanya kazi itakayomchafua.
The dichotomy in the thought process can be staggering.
Basi mwenyewe
Pale alikuwa anasafisha jina tu taka zenyewe anazoa maeneo ambayo ni masafi eti masaki, oysterbay, acean road si ndio kupeana kindugu huku kwani hawakuona mbagala, tandale nk anadai walianza na magari 4 now wanayo 24 so wanafaidika still jiji linanuka kwa harufu ya takataka....Aaaaaaaggggghhhhhhrrrrrrrrr kupeana huku hadi lini?????????
If you agree to differ, you neither agree nor differ.
mkuu Waste Management sio issue ngeni kama unavyoielezea.Amini usiamini yupo jamaa kaanza kufuatilia hii issue ya taka takribani miaka miwili sasa. na hiyo manispaa ya dar-es-salaam sijui or whatever they call themselves walikuwa hawana lolote kuhusu mbinu za kisasa. jamaa kawaandikia namna za kufanya kazi na kila siku wanakuja na maswali mapya anawajibu. Last i heard alikuwa anategemea mbivu leo tena huyu pimbi katokea wapi. Anyway this is not the first he's lost a good idea in Tanzania. Nakuhakikishia hapo kuna plans za skips na incinerators watch that space.
Lawyer's lawyer hawezi kuandika "irregardless" wewe.
Taja mwingine lakini huyu si "Lawyer's lawyer".
Nasikia bado analilia ule Mradi wa Vitambulisho vya Taifa.
Maisha ni safari kuna kupanda na kushuka.
I would radher not wander into semantics, but I have made my point very clear, endind with a kudos for Masha.
Brother! Irregardless is same as regardless though some people like you think it is incorrect,and the meaning is 'Without being affected or influenced by something'
Well, it was just a polite way of getting you off the hook!Between myself and you, with your "agreeing to differ", who is wandering in semantics?
Wewe sema tu tuna differ, the agree in n"agree to differ" is as useless as the "ay" in okay.
Sayonara!!!Wabongo wanafiki sana, wameleta mada kumponda Masha humu kuwa kachoka kwa vile anasomba taka, mara biashara ya kusomba taka imeonekana dili sasa wanahoji kaipata vipi, yaani vituko vitupo :frusty:
Wabongo wanafiki sana, wameleta mada kumponda Masha humu kuwa kachoka kwa vile anasomba taka, mara biashara ya kusomba taka imeonekana dili sasa wanahoji kaipata vipi, yaani vituko vitupo :frusty:
Pale alikuwa anasafisha jina tu taka zenyewe anazoa maeneo ambayo ni masafi eti masaki, oysterbay, acean road si ndio kupeana kindugu huku kwani hawakuona mbagala, tandale nk anadai walianza na magari 4 now wanayo 24 so wanafaidika still jiji linanuka kwa harufu ya takataka....Aaaaaaaggggghhhhhhrrrrrrrrr kupeana huku hadi lini?????????
Sijasikia ufisadi wa Masha katika pitapita zangu. Alikuwa kiongozi na mbunge kama wengi walivyo ambaye hakuwa na misukosuko kama ya akina vijisenti. Kushindwa ubunge Nyamagana si hoja ya ufisadi ila sera kwa wananchi. Kushindwa kuingia mjengoni Dodoma si kushindwa maisha, kama mwenyewe alivyosema sasa anajisikia ana nafasi ya kuitunza familia yake na pesa kuingia mfukoni kuliko alipokuwa mbunge.
Kutokana na upe wetu wa kupata bure na kuuza kura kwa wagombea, kila aliyeingia mjengoni hujisikia anasakamwa na wapiga kura wake kupata cho chote jambo linalofanya wabunge wadai ziada wawapo vikaoni. Huu ni ugonjwa mbaya, njaa ndiyo inayotuumbua na kuwaumbua wabunge. Tunawanyooshea vidole wabunge kumbe ni sisi wenyewe ndio tunaosababisha wadai zaidi. Tukishakuwa na mbunge tunataka chakula restaurant atununulie bure, bia bure, vinywaji bure na pengine hata nguo bure, ukishindwa kulipa rent unaenda kwa mbunge akumegee ukalipe. Akina dada kujipitisha kwa waheshimiwa hawa kuwasalimia eti hawana ada ya chuo au pesa ya mkopo imechelewa mheshimwa nisaidia, hayo ndiyo yawapatayo wabunge.
Nakubaliana na wewe kuhusu haya uliyoyasema. Nami pia natambua kuwa kazi za mmbunge ni pamoja na kuwawakilisha wapiga kura wake katika bunge ambapo hujenga hoja kwa madhumuni ya kuwatetea wao. Kila mwananchi anao wajibu wa kufanya kazi ili kujiletea maendeleo. Kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira murua ili wananchi wawezi kutekeleza kazi zao vizuri. Hivyo ni jukumu la mbunge kuisimamia serikali ili itekeleze wajibu wake kwa wananchi.
Hata hivyo hoja yako haijajibu swali langu " kwa nini unamtetea masha?