Law school tz should be fair

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Wadau shule ya sheria tanzania haijatenda vyema kwa wanafunz wa re suplmentary mwaka huu. Wanafunzi hao waltakiwa kulpa ela za mitihan hiyo na deadline ilkuwa dec mwaka jana, mpaka leo time table bado haijatoka ni hatari sana na mbaya
 
Back
Top Bottom