Laurence masha wale mbu ofisini umemwachia nani??

Ina maana ofisi za wabunge jazina samani? Vinginevyo hajachukua vitu vyake ila isemwe bila kuuma mdomo KAIBA.
 
Watu wenye chembe chembe za ufisadi walikuwa wezi na wadokozi wa kalamu na madaftari ya wenzao shuleni. Sasa wanaji-ibia hata wenyewe.
 
tehetehetehe mbu kachukua kama gunia tisa waliobaki yalikuwa mayai tu
 
hana tofauti na wanaowanunulia wapenzi wao simu wakikorofishana wanawanyang'anya..hakika amefilisika kisiasa:bump:
 
Kumbe Masha alivyoshindwa ubunge alibeba vitu ofisini akamkabidhi Wenje ofisi isiyokuwa na kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…