M Mzawa Halisi JF-Expert Member Feb 25, 2009 637 361 Dec 3, 2010 #3 Ina maana ofisi za wabunge jazina samani? Vinginevyo hajachukua vitu vyake ila isemwe bila kuuma mdomo KAIBA.
Ina maana ofisi za wabunge jazina samani? Vinginevyo hajachukua vitu vyake ila isemwe bila kuuma mdomo KAIBA.
Anko Sam JF-Expert Member Jun 30, 2010 3,200 820 Dec 3, 2010 #4 Watu wenye chembe chembe za ufisadi walikuwa wezi na wadokozi wa kalamu na madaftari ya wenzao shuleni. Sasa wanaji-ibia hata wenyewe.
Watu wenye chembe chembe za ufisadi walikuwa wezi na wadokozi wa kalamu na madaftari ya wenzao shuleni. Sasa wanaji-ibia hata wenyewe.
kipipili JF-Expert Member Jul 29, 2009 1,590 183 Dec 6, 2010 #5 tehetehetehe mbu kachukua kama gunia tisa waliobaki yalikuwa mayai tu
lufunyo Member Oct 29, 2010 70 2 Dec 6, 2010 #8 hana tofauti na wanaowanunulia wapenzi wao simu wakikorofishana wanawanyang'anya..hakika amefilisika kisiasa:bump:
hana tofauti na wanaowanunulia wapenzi wao simu wakikorofishana wanawanyang'anya..hakika amefilisika kisiasa:bump:
L laki si pesa. JF-Expert Member Jul 14, 2015 10,003 9,731 Apr 4, 2017 #9 Kumbe Masha alivyoshindwa ubunge alibeba vitu ofisini akamkabidhi Wenje ofisi isiyokuwa na kitu
R Ralph Tyler JF-Expert Member Jul 31, 2015 2,827 3,569 Apr 4, 2017 #10 laki si pesa. said: Kumbe Masha alivyoshindwa ubunge alibeba vitu ofisini akamkabidhi Wenje ofisi isiyokuwa na kitu Click to expand... Sasa hivi ni maswahiba. No permanent situation. Hata Mwigulu anaweza kujiunga nao, it all depends on how the situation changes.
laki si pesa. said: Kumbe Masha alivyoshindwa ubunge alibeba vitu ofisini akamkabidhi Wenje ofisi isiyokuwa na kitu Click to expand... Sasa hivi ni maswahiba. No permanent situation. Hata Mwigulu anaweza kujiunga nao, it all depends on how the situation changes.