Laurence Masha ajitoa kugombea Urais TLS, amuunga mkono Tundu Lissu

Nyani Ngabu watu wanashangaa matokeo leo wakati tuliyaeleza juzi

Serikali kwa kushindwa kuzuia uchaguzi wa TLS, kushawishi mawakili kuchagua 'watu wao' na kwa ushindi wa Lissu wa asilimia 88 ni aibu kubwa sana

Hili linaeleza jambo na limesha set precedent kwa mambo mengine.
Kwamba, wanapingika na wanaweza kushindwa, matumizi ya maguvu hayana mashiko

Waliyataka wenyewe kwa promo ya TLS na kamata kamata ya Lissu
 
CCM wanatamani zingekuwa zinapigwa kula zileee za wazi (ili kuwabana wale was TAMISEMI),wanaosema ndio wasema ndio 'ndioooo' ,wanaosema sio waseme sio 'sio'
Waliosema ndio wameshinda...lol

Uchaguzi huu ni wakisomi ,haki , weredi etc na sio funika kombe mwanaharamu apite
 
Back
Top Bottom