lara 1, lara 1, lara 1... Unaumiza mbayaaaaa....!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Duh, lara 1 naumisa loho yangu wallahi............
Mtoto umekwiva kama Papai, mai weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....LOL

Mama Ngina na mwanae King'asti wakiona hii maneno yangu mbofu mbofu ............ patachimbika......

wenn5847907.jpg
 
Last edited by a moderator:
Objectioooooooooooooooooooooooooooooooooooonnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
Duh, lara 1 naumisa loho yangu wallahi............
Mtoto umekwiva kama Papai, mai weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....LOL

Mama Ngina na mwanae King'asti wakiona hii maneno yangu mbofu mbofu ............ patachimbika......

wenn5847907.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaa! UNANITEGAAAAAAAA! MBONA WALLET IPO WAZI!!!!!!!!!!!!!!!? UNANITEGAAAAAAAAA! MBONA BALANCE YA BANK IKO JUU YA MEZA!!!!!!!!!? Ujue nimebadilisha Trade Mark, Misharobaro TUPA KULEEEEEEE!!!!!!!! Saivi nimeanza kula sahani moja na VIZEE VYENYE HAZINA!!!!!!!!! Utuuzima Dawa!!!!!!!
 
Mtambuzi hofu ondoa, mama ngina keshazeeka hana pa kwenda.....

Faidi toto lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

mradi usiuze mpaka nyumba ya urithi tu kisa lara 1

Nawe lara 1 mchune Mtambuzi kidogo kidogo si unajaua ana kichanga?

KUMCHUNA KIDOGO NI NGUMU KABISAAAAA!!!!! Ninabanwa na VIFUNGU VYA KIKATIBA!!!!! Naomba niiainishe Sheria No 145 ya UCHANAJI ya Mwaka 1961, iliyofanyiwa mabadiliko mnamo mwaka 1989 na 2007 ili kikidhi matakwa ya wakati na uhakikishaji wa upatikanaji wa haki kwa raia.

Sheria hii ina vifungu Aa, Be, na Che yenye vifungu vidogo viwli i na ii.

Katiba inaainisha kuwa Mchunaji atatakiwa kumchuna mchunwaji maarufu kama shefa kwa vijana wa enzi hizo na buzi kwa vijana wa leo bila huruma hata chembe, na achune mpaka mifupa pasi kufikiria mara 2. Mchunaji huyu yampasa kufikiria swala zima la ukosefu wa PENSHENI/MAFAO kama ayapatayo mke halali kutokana na nature ya mahusiano kuwa TEMPORARY hivo yampasa kubeba kwa wingi kadri awezavyo wakati awezavyo.

Mchunwaji/Mhongaji atatakiwa kikatiba kulipia huduma endapo tu ataridhiswa na viwango vya mchunaji. Na ni kiasi gani akubali au asikubali ni juu yake mwenyewe.

Sheria inasisitiza Umri halali wa mtu kujiunga na Uchunaji na Uhongaji ni miaka 18-60 kwa jinsia zote mbili. Pungufu ya umri tajwa ni Ubabu Seya na zaidi ya hapo ni Hasara sababu nguvu za kuvunja mfupa hazitokuwepo.
 
kwa style hii Mtambuzi kaumia
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaa! UNANITEGAAAAAAAA! MBONA WALLET IPO WAZI!!!!!!!!!!!!!!!? UNANITEGAAAAAAAAA! MBONA BALANCE YA BANK IKO JUU YA MEZA!!!!!!!!!? Ujue nimebadilisha Trade Mark, Misharobaro TUPA KULEEEEEEE!!!!!!!! Saivi nimeanza kula sahani moja na VIZEE VYENYE HAZINA!!!!!!!!! Utuuzima Dawa!!!!!!!
Mdogo wangu umeona tangu umetangaza kulipa bill ya mtoko na sharo umepanda chati?
wakaka wa siku hizi bwana.......... Hata wewe mzee Mtambuzi? #sikutegemea
 
Last edited by a moderator:
Kwa hili wala.hapachimbiki. You dont deserve us. Tutabaki na mama kumlea mdogo.wetu. Nenda baba wenda!
Duh, lara 1 naumisa loho yangu wallahi............
Mtoto umekwiva kama Papai, mai weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....LOL

Mama Ngina na mwanae King'asti wakiona hii maneno yangu mbofu mbofu ............ patachimbika......

wenn5847907.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kwa hili wala.hapachimbiki. You dont deserve us. Tutabaki na mama kumlea mdogo.wetu. Nenda baba wenda!

Hahahahaaaaa King'asti mwanangu, nadhani Leo umekubali kwamba Mtambuzi si baba yako! Kwanza hajatulia, njoo kwa baba yako halisi uone maraha yalivyo! Waallaaah ntakujali zaidi ya baba yako wa kubumba Mtambuzi!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom