Lara 1 - Compilation No.1 - 2012

Lara 1 - Compilation No.1 - 2012

Kiswahili kingine hiki cha kijinga-jinga itabidi unitafsirie.

Nasema hivi "katika hifadhi ya seregeti tembo moja ameangushwa nakutafunwa". ndio maana leo umebandilika,

umenielewa.
 
Hahaha mi nacheka majibu ya faiza ya papo kwa papo ila na ww umezidi

Ujue huyu mdogo wangu FaizaFoxy mwka huu kauanza vizuri sana tofauti na miaka ya nyuma???
Nilikuwa najaribu kumpima upepo!
 
Last edited by a moderator:
Nasema hivi "katika hifadhi ya seregeti tembo moja ameangushwa nakutafunwa". ndio maana leo umebandilika,

umenielewa.

Hizo porojo za bush mjini hatuzijuwi, namba uliyopiga sasa hivi haipatikani, tafadhali jaribu tena baadae.
 
I looooooooooooooove this akili ya huyu bidada!!
Kati ya watu natamani kushare nao.mlo JF lara upo.kwenye A list!!
Nitakualika siku moja nikuandalie!!
Yani yuko vizuuuuuuri!!
 
Hizo porojo za bush mjini hatuzijuwi, namba uliyopiga sasa hivi haipatikani, tafadhali jaribu tena baadae.

Hafu nina kitu nataka nikuambie, vipi? kiuambie hapa hapa au tuingie chumbani! watoto wasisikie.
 
Baada ya kufunguka na founder wa JF, 2lara 1 anafunguka zaidi...

[h=2]Jamani sijielewielewi juu ya my super handsome boss!!! Ushuri please!!![/h]Nawasalimu wakuu!

Ya jana yamepita jamani nimenusurika BAN, namshukuru mola, ila sijakata tamaa, najua MM the F ana play HARD TO GET, na mimi I HAVE ALL THE TIME TO WAIT, sieti hata nyie wakiume mkimtongoza mtu mara ya kwanza mnajua tu cha mbavu na za uso lazima ila hamkati tamaa? Na mimi nakomaa, mpaka ani PM.

Back to the point, mwenzenu nakofanyia kazi huku kuna Bosi wangu Super Handsome!!!!! afu hajaoa wala hana demu mule ofisini ila mapoziii mengi na hivi karudi kutoka masters U.K kujifanya high class wkt za chini ya kapeti zinadai alikuwa mbeba boxi tu huko majuu cheti kachakachua. Full kuninyanyasa na hiki kielimu changu cha kuungaunga cha UDSM, Sinywi maji! sijambi kwa raha! kabla sijaambiwa YOU HAVENT SEEN THE WORLD! nakuwaje mdogo na hivi hata nairobi sijawahi kufika??

Nilivomuona mara ya kwanza kwenye interview badala ya kuwaza jinsi ya kupata hiyo kazi nijikwamue na njaa kali ya kitaa nikawa nimepagawa mtoto, miswali migumu siiwezi nabaki kumpa killer smile tu! akawa haelewi huyu binti 0 kichwani ansmile nini badala ya kutiririsha utirio, out of kindness tu akawa ansmile back. Hamad kazi nikapewa mie nikaanza na mshawasha kweli!. Nikajua tu hapa hii kazi ushahidi tu kanileta tuburudike amasivyo wale intervieew wengine vilaza zaidi yangu.

Wiki ya kwanza tu baada ya kupewa mishushu na makavu livee oblongata ikatulia sasa nikajua tu hamna kuburudika wala nini mwendo wa kazi tuuu! Ila uvunguni mwa moyo wangu bado ule mshawasha ukabakia ila kila nikipewa shushu unapungua mpaka ukaisha kabisaa. Nikajiaminisha vita nimevishinda na pepo la ngono zembe limeshindwa na limelegea.

Sasa si ndo Boss Super Handsome akaniambia nanifeel na tudate kama i feel him too ( tongoza za deportees hizo hawabembelezi sanaaa) Nikakumbuka mishushu na I HAVENT SEEN THE WORLD nikaona ligi nzito, maji ya shingo siyawezi nikamchomolea. Nikamwambia simfeel wala nini achukue time. Basi nshomile hakunibembeleza wala nini ila akaniomba nisvujishe ishu ofisini kuwa nimempa cha mbavu. Nikamwambia usihofu.


Sasa nimezoea ofisi na nimeanza kupata miumbea ya mule kumbe 90% ya vidada mule vinamzimia kinoma, kila siku kumnunulia chakula, si kumpa lift, si kumualika drinks jioni nae anakula tu vyote, hana hiana! mi huu umbea umeniuma kinomaaa! sijui kwanini wakati kumpenda simpendi, wivu sina ila roho yaniuma! Basi kila nikiwaona wapinzani wanagombea jimbo roho yanitoka! Nimebaki nataka huku sitaki.

KITAALAMU HIVI NINA SUMBULIWA NA NINI? NINI TIBA?

Babu asprini nipe uzoefu wako inaonekana umekula chumvi nyingi umeona mengi!!!!

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/mahusia...-ya-my-super-handsome-boss-ushuri-please.html
 
Shika adabu yako na adabu ikushike, kamwambie mama'ko.

Hayo yote nayajua!

lakini sikushangai kwa sababu wewe ni mwanamke mwenye maandili na hofu kubwa ya Mungu, ndio maana uko hivyo.
na mwanamke yoyote mwenye nidhamu na maandili mema kabsa kama wewe, anatakiwa kuwa desturi kama hiyo katika mizunguko yake yote!

kila siku nimekuwa mfatiliaji wa uchangiaji wako pamoja na mada zako nimegundua wewe ni kwanamke mwenye upeo wa upendeleo na wa aina yake, tofauti na wanawake wengine kabsa, upawa wako wakutengua na kutetea hoja ndio umenifanya kushidwa kulala kila siku, na kila wakati nikiwa na hamu yakunywa na wewe hata soda ili tuongee machache yanayonisibu.

najua utanishagaa sana! lakin nakuomba uelewe ya kwamba moyo na hisia zangu zimenasa kwako.
 
Hayo yote nayajua!

lakini sikushangai kwa sababu wewe ni mwanamke mwenye maandili na hofu kubwa ya Mungu, ndio maana uko hivyo.
na mwanamke yoyote mwenye nidhamu na maandili mema kabsa kama wewe, anatakiwa kuwa desturi kama hiyo katika mizunguko yake yote!

kila siku nimekuwa mfatiliaji wa uchangiaji wako pamoja na mada zako nimegundua wewe ni kwanamke mwenye upeo wa upendeleo na wa aina yake, tofauti na wanawake wengine kabsa, upawa wako wakutengua na kutetea hoja ndio umenifanya kushidwa kulala kila siku, na kila wakati nikiwa na hamu yakunywa na wewe hata soda ili tuongee machache yanayonisibu.

najua utanishagaa sana! lakin nakuomba uelewe ya kwamba moyo na hisia zangu zimenasa kwako.

Nimekwambia hivi, kamueleze hayo mama'ko? au huna mama? au mama wa wenzako ni rahisi kwako kuwatongoza lakini mama'ko ni muhali?
 
Thank you FaizaFoxy kuhusu the blog bwana I NO LONGER HAVE SHARES! Tulianzisha wa 3, tukatofutiana so i moved on since 2013. SO SOME OF THE WORK YOU ARE CREDITING ME FOR IS NOT ACTUALLY MINE! Oooooooops. Sahivi kabakia bibie mmoja ana i run hio blog.

Kuna kitu nataka kukifanya, actually ni vitu lakini bado najipanga kwanza na kukusanya mkwanja.

I was thinking kuanzisha NEW BLOG, nikiwa solo, for serious life style blogging, news, cureent events, hivo yani. Na kuna series naiandikia script. Bado ila iko on the longrun plan.

On the meantime endeleeni tu kunifaidi bure bure humu JF.

Ukianza mi takusaidia kazi ya editing, I mean ku-edit text - ziwe za kiswahili ama kingereza poa tu
 
Back
Top Bottom