Lara 1 - Compilation No.1 - 2012

Lara 1 - Compilation No.1 - 2012

Mzigo mpya wa original apple ipads 2&3 with 1 year international warranty!

HABARI ZENU WAKUUU!

TUMELETA MZIGO MPYA WA APPLE I PADS ZIFUATZAZO, NI MPYA KWENYE BOX,ORIGINAL NA ZINA INTERNATIONAL WARRANTY YA 1 YEAR.

APPLE I PADS 2, 16GB, 3G NI $750

APPE I PADS 3, 16 GB , wfi and 4G NI $850

APPLE I PADS 3, 32GB, wfi and 4G NI $1000

APPLE I PADS 3, 64GB, WFI and 4G ni $1100

TUPO MIKOCHENI
0716961490

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/matanga...and-3-with-1-year-international-warranty.html
 
[h=2]Waliofunga harusi mwaka huu na wangependa kutokea kwenye magazine/jarida la harusii watume picha zao[/h]Hello!

Jamani kuna gazeti/ jarida jipya limeanzishwa special kwa mambo ya harusi linaitwa malaika magazine. Kwa wale mliofunga harusi mwaka huu na mgependa kutokea gaeteni mtume picha za harusi zenu malaikamagazine@gmail.com na mtatokea toleo la november. Wanapokea picha nyingi tu hata za sherehe nzima.

Asanteni na mbarikiwe

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/matanga...azine-jarida-la-harusii-watume-picha-zao.html
 
Baada ya hayo matangazo ya biashara kwa wingi, lara 1 akafunguka na hii bulls eye:

Nimetokea kumzimikia founder wa JF! Seriously is this normal other JF ladies!?



Hi Guys!

Niende direct kwenye mada, mie ni mgenu humu jf, baada ya kujiunga na kuukubali huu mtandao nikawa na hamu ya kujua historia yake.

Katika peruziperuzi zangu ndo nikakutana na habari za maxence, baasi nimetokea kumzimia kweli huyu founder, simjui hanijui ila i always think about him toka nimfahamu habari zake. Believe it or not nimesoma post zote zinazomuhusu. Ifind everything abt the dude so sexxxy! hata kama ni mambo ya CDM jst imagine!! Bora hajaweka pic manake ingekuwa noma! I have a
A%20S%208.gif
big crush on the dude!!!

Najua wasoma risala na barua kwa mgeni rasmi wa humu jf mtaanza ohhh we mtoto wa kike haipendezi kumtongoza mwanaume blah blah blah! Leave me alone i beg ohhhh!

Seriously sasa mnanishaurije manake niliona nikimtokea privately akija kuniumbua huku mtafanya BIG DEAL bora nimuapproach hukuhuku jamvini mbele yenu ili isiwe breaking news.

Kutongoza kaumbiwa mwanaume (kumbe mnapataga tabu kutema mistari) mie wa kike nimedakia tu bt Maxence please if you are interested PM, na kama haupo interested hata match za ugenini/nje poa tu all you have to do is to PM me.

NB: Hizi ni hisia zangu tu DONT BAN ME! kupendwa bahati ati!
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif


Akikubali siemi ng'oooooo siri yetu

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/mahusia...seriously-is-this-normal-other-jf-ladies.html


My take:

Hii kivyangu nimeona ilikuwa ni bonge la psychologically defensive warfare from lara1

Baada ya maneno matamu kama hayo kwa Founder / ma Founder kuna ban tena hapo?

lara 1 upo juu mama, am sure you can make any Tom, Dick or Harry dance to your tunes in your fingertips.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom