mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
mods waanzishieni hawa machangu waondoe vidosho humu
Kama huna mke, tafuta mume.
Sasa wewe mpaka unastaafu hauna mke halafu unakuja kujisifu JF? si bora utafute mume tu. Nipishe huko.
lara 1 akiolewa nalala uchi
FaizaFoxy leo umekuja kitofauti sana, nimeanza kuongeza upendo kwako???
Watu wengi huwa wanafikiri kichwa chako kimejaa siasa na dini pekee!
Safi sana mdogo wangu.
lara 1 akiolewa nalala uchi
Aliokwambia kakudanganya, Alhamdulillahi nna Gozi langu la uhakika tulotoka mbaaaali tena mbali sana.
Kama umetoka nalo mbaaali litakuwa lishakukinai hilo, wacha nije nikuonjeshe na gozi jipya tamu zaidi😀
Kabisa. Siku hizi huyu bibie anaingia hadi jukwaa la tech na ku-post vitu adimu, keep it up!
Sasa nnaelewaa kwanini jitu zima huna mke, mimi nimekushauri utafute mume tu, usisumbuke, kwa staili hiyo sidhani kama utapata mke duniani.