AlhamduliLlahi nnanusa-nusa 60 sasa hivi. Kalagabaho.
Ananifurahisha.
Aisee we bibie akaunt yako imekua hacked au ni wewe kweli mmmmh sikupendagi kule kwenye jukwaa letu lakn siamini kama unamsapoti lara 1 jikubwa la maadui. Vipi na Mme wake Matola je maana in every woman success there is a man behind and not vice versa. BTW nipe vigezo ambavyo braza wako anapata wakuu wa wilaya wadada ili tumpigie mchongo lara 1
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa, lilitokea ji manga moja la maskati likatoa mahari ya kufa mtu.
Mwenyeei Mungu awajaalie kila la kheri.