Laptops and Mobile phones for sale

Laptops and Mobile phones for sale

zinauzwa
sony vaio core i3,500gb hard disk,4gb ram,
sumsung min laptops,320 hard disk,1gb ram.
pia kuna dell latitude e 6420 core i5,25ogb hdd,4gb ram
piga 0719373606
 
Wabongo Bwana Laptop siku zote zipo Kariakoo, Mlimani City, Poster ....... They always forget what is the interest of most of us ....... What is so special with urs.......? THE PRICE1 What should I take a trouble of sending u a PM asking for the Price! Which is gonna take a day to reply anyway! Why cant I just drive to Mlima city get My laptop
 
We huyo hujamzoea tu?, Huwa hataji bei...Na wewe kama upo serious Why dont u call that number...So kipi ni rahisi kutoka kwako hadi mlimani city ili kujua price au kupiga hiyo namba ili kutajiwa price...U need to make little effort to show u are also interested
 
Kama ni tangazo la biashara limekosewa. Anahitaji kutaja mahali alipo, aina ya mali, bei, na huduma zingine kama vile installation of programmes, antivirus na mengine. Ajifunze toka kampuni za simu
 
We huyo hujamzoea tu?, Huwa hataji bei...Na wewe kama upo serious Why dont u call that number...So kipi ni rahisi kutoka kwako hadi mlimani city ili kujua price au kupiga hiyo namba ili kutajiwa price...U need to make little effort to show u are also interested

weka bei na picha! As simple as drinking water!
 
wabongo tukiri tu kuwa kwa suala la matangazo ya biashara,bado tuko nyuma!watu humu kila siku wanarekebishwa,lakini cha ajabu makosa yaleyale yanazidi kujirudia!biashara sio tu matangazo,bali tangazo linaloondoa maswali mengi kwa yule unayemtangazia!kila la kheri!
 
Biashara huria siku hizi haihitaji ukiritimba. Kila mtu anajua bidhaa zilipo, ubora na aina zake. Unachopaswa kuweka hapa ni aina za bidhaa, bei yake, zinapatikana wapi na kwa quantity gani ili watu waamue kuja kwako au waende mahali pengine...kama dukani tunachofanya ni window shopping, kisha tunafanya maamuzi...biashara za waganga wa kienyeji ambao huficha wanayofanya ili mwingine asijue unachofanya. Acha kutufundisha uchawi, taja biashara yako wewe!
 
Weka bei mkuu au bei zako kubwa mpaka unaona aibu kubandika hapa? Jumamosi nimenunua HP core i3, RAM 4GB, Hard disk 500 GB kwa shs 700,000 brand new.
 
thanx bro....kila kitu ukitaka unawekewa....any software unawekewa
 
samahani ndugu...bei zangu ni maelewano....huwa wateja wananibeeb nawapigia tunaanza fanya maelewano hadi tunafikia muafaka nawauzia
wenye interest huwa wanpiga
thanx kwa kunielewa
 
mimi natafuta tablet computers. Kama unazo ni PM, ila bei isiwe juu ya jiwe nne!
 
tumieni ebay kununua bidhaa. Ni biashara ya online. Ni very cheap and simple.
 
samahani ndugu...bei zangu ni maelewano....huwa wateja wananibeeb nawapigia tunaanza fanya maelewano hadi tunafikia muafaka nawauzia
wenye interest huwa wanpiga
thanx kwa kunielewa

Mnaelewana kuanzia shilingi ngapi? Mkuu, inatakiwa maelezo yako yawe wazi kbs
 
Weka bei,alafu vifaa vya compyuta,vinaitajika sana! Mwenye mtaji wake,aje atengeneze pesa
 
Back
Top Bottom