Laptops and Mobile phones for sale

Laptops and Mobile phones for sale

Simu aina gani unazo bro??

Sent from my GT-S6102 using Tapatalk 2
 
Samsung tablet 6200,storage 32gb,processor 1.2ghz inapiga simu.
sony tablet,nokia n9 500,nokia lumia 800, Blackberry torch 3...zote zipo bei ni sawa na bure....
piga 0719373606 au nitumie private message
au email thejoseec@gmail.com
 
Weka bei basi kwa kila model mkuu,hivyo ndio biashara inavyopaswa kufanyika kiongozi
 
wew biashara matangazo weka smu na bei zake hapa watu waone ila ukitaja tu aina za simu siyo watu wote wanazijua ila kwa kuweka picha zake mtu anaweza kuvutiwa na kununua faster.
 
Tablet za sumsung NA zony zinauzwa bei sawa bure ...bei maelewano
Piga 0719373606
 
Tablet ni vidonge, ina maana simu za Samsung na Sony huwa zinatibiwa zikiumwa?
 
Tablet za sumsung NA zony zinauzwa bei sawa bure ...bei maelewano
Piga 0719373606


Biashara nyingine kama za uganga wa kienyeji! Bei sawa na bure maana yake nini?
Kwa nini usitoe specs za hizo computers na bei zake? Ikiwezekana pamoja na snapshots

Business in that way, expect nothing
 
dell vostro mpyaa.ipo kwenye boksi lake,ina 4gb ram,500gb hard disk,processor ni core 13,
pia kuna tablet za sumsunga na sony mpyaa...
pia kuna backbery torch 3,na nokia n9 na nokia lumia
nitumia private message au email me thejoseec@gmail.com
au my phne number 0719373606
nipo dar-es-salaam
wateja wa mikoni pia tunawafikia
asanteni
 
Taja bei ya bidhaa zote hapa mkuu kuepusha usumbufu usiokuwa wa lazima
 
Thejosec
if you really need serious buyers you atleast shud sound like a serious seller too..weka bei ya kila bidhaa mezani ili tusisumbuane private na kuishia kuombana namba za simu na kujaza phone books zetu un-necessarily.
 
Jamani hili la kuweka bei unapotangaza bidhaa zako hapa jukwwani tunasema kila siku na watu mnajifanya hamuoni. Please weka bei ya bidhaa pamoja na picha kama inawezekana ili kupunguza usumbufu kwako na kwa prospective customers.
 
Back
Top Bottom