SURE,NI VIZURI TUWE Makini....mimi nilikuwa pale Tanga mjini....viwanja vipya vya Forodhani napunga upepo! Wakatokea Wahindi wawili wakaniita kwenye gari...wakanionyesha simu ...I phone 4s ,Sumsung Galaxy( version tofauti). Wakaniambia wao ni wafanyabiashara na wanaenda Dar,,kwamba mmoja ametokea Dubai na wamejikuta hawana hela-wanauza iphone kwa laki 8,tshs na GALAXY KWA LAKI 5, NA NYINGINE 200.000... nikawambia mimi nitanunua Iphone lakini nina laki 3.... tukavutana mpaka wakanipatia kwa bei hiyo! MY GOD....KUMBE NI FAKE....WALIKUWA NAZO NYINGI(ZAIDI YA 10) KWENYE GARI....BILA SHAKA MPAKA SASA WAMEISHAWALIZA WATU WENGI. SO BE CAREFULL PLEASE.