Laptops and Mobile phones for sale

Laptops and Mobile phones for sale

ukiona hivyo ujue utakufa wewe na sio battery!!!

Nazungumzia flexibility simu ya kwako hata weka apps unazotaka, hamisha hiki, copy hiki, Android is the free land, wazee wa itune mpo? u dont have I tune hujahamisha wimbo! Nilikuwa huko bahati nzuri niliishia Iphone 3gs
 
Niko hapa Israel jamaa mmoja kafungwa kwa kuingiza kinyemela iphone4S za kichina,Kuweni makini sana Wachina wamevamia Africa maana wamejaribu Africa kama Dumping area.
 
Hiyo itakuwa ya kichina double line. Toka lini iphone 4s laki saba. Au ya wizi? Kwani hata kama umefulia hujionei huruma umenunua simu milioni moja laki nane uiuze kwa laki saba?
 
sony vaio....3gb ram...320 gb hdd,pia emachine core i3 500gb hdd,3gb ram.....nitafute nikuletee mzigo . wa ukweli...piga 0719373606
 
Hiyo itakuwa ya kichina double line. Toka lini iphone 4s laki saba. Au ya wizi? Kwani hata kama umefulia hujionei huruma umenunua simu milioni moja laki nane uiuze kwa laki saba?

Bei uliyokariri Mlimani City unafkiri kila mtu ananunua huko? Kama unahitaji bidhaa nenda kaonane na muuzaji uhakikishe kama genuine au fake mkubaliane, kama unaona laki7 ni bei rahisi sana unaweza pia kuongea na muuzaji akupandishie bei kidogo ili useme umenunua simu ya milioni mbili!:A S-baby:
 
Kiuhalisia original iPhone 4s haiwezi kuwa hiyo bei labda kama umeipata kwa njia isiyo halali! Kama ni copy basi mkuu unauza gharama sana, maana unaweza kupata kwa laki 2 tu
 
kuna del premium sound....4gb ram...500gb hard disk,core i3...pia kuna e machine 2gb ram,500gb hard disk,core i3....
kwa simu nina iphone 4s
al are brand new....
bei ni maelewano kati yangu na mteja
piga 0719373606
 
siku nyingine mkitaka kutukana na kubishana anzishen thread yenu ya matusi....kama huna hela ya kununua ...kaa pembeni......wenye hela wanachukua.....na kama huju products uliza uambiwe....hatuendelei kwakua tunapenda kubishana kuliko kuelimishana.....acheni utoto.....jamii forum is home of great thinker....if unajijua huna vigezo..jitoe au kuwa mwagaliaji tu...sio lazima kila kitu utoe coment
 
ni kweli unavyosema mkuu, ila wadau wanashindwa kuamini kutokana na bei yako hiyo, kamavp weka hapa screenshot ya "About Screen" kwenye setting-general-about, ili angalau tuhakikishe ni OG kupitia SN yake from Apple Website,,,
280lgs9.png
 
huyo anaesema iPhone 4s haiwezy kuwa 750 ana matizo kidogo,
yaani ya dukani iuzwe 1.4m na mkononi pia iuzwe 1.4m,
hakuna essence kabisa...
kitu kikishaLand mkononi kwa mtu hata kama kipYa,
price lazma iDROP...
 
Back
Top Bottom