Laptop yangu inaganda ganda

buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
430
500
Habari zenu

Laptop yangu imekumbwa na shida hiyo
Ipo fresh feni inazunguruka fresh ila shida unaweza ukaitumia ila kuna wakati inaganda haibonyezeki batani yoyote

Naamua kuizima tena na naiwasha tena naendelea kuitumia then inaamua kuganda

Msaada wa kutatua tatizo hilo ni nini nimepiga window mara nyingi ila bado
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,030
2,000

ikiganda ina stack tu ama ile cursor inakuwa kama inaload kwa kuzunguruka hali ya kuwa huwezi fanya chochote?
 
GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
796
250
hapo inahitaji heat cooling compound , inawekwa kwenye processor na vga,,na kupigwa blower safi, kama upo dar tuwasilia nikufanyie hiyo kazi mara moja
 
Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,166
2,000
hapo inahitaji heat cooling compound , inawekwa kwenye processor na vga,,na kupigwa blower safi, kama upo dar tuwasilia nikufanyie hiyo kazi mara moja

inaoneka ww sio fundi kabisa, unameza kuliko kuelewa
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,030
2,000
Kama inastack

Cusor haizungutuki inaonekana kimshale tu
Hard disk ikianza kufa ama ikiwa slow sana inaweza leta tatizo kama hili, wakati huo ikistack stack ama kuwa slow jaribu kufungua task manager angalia upande wa Hdd haijaja 100%?
 
kingkimbe

Member
Jul 11, 2017
87
125
Kama inastack

Cusor haizungutuki inaonekana kimshale tu
Kwanza angalia hard disc uwenda inatatizo,
Windows pia uchangia hilo tatizo kama windows itakuwa na shida pia angalia cooling system kama inapata Moto Sana ujue hilo ndio tatizo lenyewe fanya hayo kwanza
 
GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
796
250
Hapo kwenye VGA sasa
yes,,,, laptop zina internal VGA(video graphic adaptor, or video adaptor) na ndio hupata moto sana kipindi unacheza game or una designing graphics,, so hua inawekea cooling compound kwa ajili ya kupooza hua ziko sambamba na processor
 
GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
796
250
aaaah wapiiii, haiwezekani unaambiwa mashine inastack ww unasema heat sink compaund mara sijui kupiga Blower.

yani hakuna hata unachokielewa
ipo hivi,,,, kama fan haizunguki vizuri mashine inapata joto sana so ina stack, na fan inaweza kutokuzunguka vizuri kama kuna vumbi au uchafu , blower inasaidia kusafisha fan ,, heat sink compound hua inasaidia kupooza processor na graphic adaptor, kama haipo ya kutosha mashine inapata joto sana na mashine ikipata joto sana ina stack na inazima kutokana na joto kali.
 
Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,166
2,000
kwani yeye kakwambia inaheat? wapi umemuuliza??

Mashine kustack kuna assumption 100 Kidogo.

kuna issue za hardware na software, sasa ww hujataka hata kujua ww unakimbilia kupiga blower na kuongeza compaund

Ona wenzio wanauliza kama Cursor inaonesha inaload na mambo mengine ili wajue ni software au hardware

Sasa ww moja kwa moja umeenda kwenye solution wakati shida yake haina jibu la moja kwa moja
 
GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
796
250
aaaah wapiiii, haiwezekani unaambiwa mashine inastack ww unasema heat sink compaund mara sijui kupiga Blower.

yani hakuna hata unachokielewa
pia hapo jamaa amepiga windows mara nyingi na anasema tatizo liko pale pale,,, means hilo tatizo sio la software... hilo ni hardware problem,,
AU WEWE KICHWA MAJI LETE SULUHU YA TATIZO HAPA,,, NYIE NDIO WALE MNAANZA MARA VIRUS,,, MARA WINDOW IME CORRUPT HAPA KASEMA AMEBADILI WINDOW,, lete majibu hapa in term of hardware:(:mad::cool::mad:
 
Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,166
2,000
pia hapo jamaa amepiga windows mara nyingi na anasema tatizo liko pale pale,,, means hilo tatizo sio la software... hilo ni hardware problem,,
AU WEWE KICHWA MAJI LETE SULUHU YA TATIZO HAPA,,, NYIE NDIO WALE MNAANZA MARA VIRUS,,, MARA WINDOW IME CORRUPT HAPA KASEMA AMEBADILI WINDOW,, lete majibu hapa in term of hardware:(:mad::cool::mad:

Wewe ndo kichwa maji, Reply yako ni ya 3 kwenye hii thread, mambo ya kupiga windows umeyaona wapi?
 
buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
430
500
Hard disk ikianza kufa ama ikiwa slow sana inaweza leta tatizo kama hili, wakati huo ikistack stack ama kuwa slow jaribu kufungua task manager angalia upande wa Hdd haijaja 100%?
Ikistack haibonyrzeki sehemu yoyote nazima then nawasha tena
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom